606 na 404! Ukiona hesabu za hivi ujue zimeandaliwa kimtaanimtaani na si mtu aliyekwenda shule.Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?
You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be charged a processing fee of TZS.606.00 and a Service Fee of TZS.404.00 to accumulate as per repayment span.
TCRA hebu njooni huku fastaaaKuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?
You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be charged a processing fee of TZS.606.00 and a Service Fee of TZS.404.00 to accumulate as per repayment span.
Bora hiyo. wk iliyopita niliweka vocha ya 5,000, nikajiunga kifurushi cha 1,500. ikiwa imebaki siku moja nikataka kujiunga tena 1,500, nikaambiwa niongeze hela ama nikope. Mpaka sasa hivi siamini huu utapeli umetumika kwangu tuu ama na kwa wengine pia? Hivi kama wamefanyia tuseme watu milion 1 kwa hiyo pesa 3,500 wanapesa kiasi gani?
"NCHI MASIKINI TUMEKWAMA SANA"
hamieni TTCL