Hivi TCRA wanaitambua hii biashara ya Vodacom?

Mau

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
176
Reaction score
10
Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?

You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be charged a processing fee of TZS.606.00 and a Service Fee of TZS.404.00 to accumulate as per repayment span.
 
Bora hiyo. wk iliyopita niliweka vocha ya 5,000, nikajiunga kifurushi cha 1,500. ikiwa imebaki siku moja nikataka kujiunga tena 1,500, nikaambiwa niongeze hela ama nikope. Mpaka sasa hivi siamini huu utapeli umetumika kwangu tuu ama na kwa wengine pia? Hivi kama wamefanyia tuseme watu milion 1 kwa hiyo pesa 3,500 wanapesa kiasi gani?
"NCHI MASIKINI TUMEKWAMA SANA"
 
Voda wamezidisha wizi! Kila mtu analia nao! Hata mitandaoni wamejaza vimichezo vya kamari za wizi za kila aina, hujko wanapiga milioni ya chee kwa wananchi sina hakika kama hizo pesa huwa wanazilipia kodi au serikalini au ni vipi! Hii ni moja ya makampuni ambayo serikali bado haijamulika vema upigaji wake wa fedha za wananchi, nahisi ni sababu ni wizi wa kiteknolojia! Hivyo ni vema serikali ikakabiliana na wizi huu kitaalamu!
 
mie nimewakimbia voda sitaki kuwasikia na utapeli wao unajiunga kifurushi cha 2000 wanakata 5000 ukiuliza eti kifurushi hua kinatabia ya kujibadilisha huu ni wizi wa dhahiri kabisa.
 
Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?

You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be charged a processing fee of TZS.606.00 and a Service Fee of TZS.404.00 to accumulate as per repayment span.
606 na 404! Ukiona hesabu za hivi ujue zimeandaliwa kimtaanimtaani na si mtu aliyekwenda shule.
 
Yaani hii mitandao bwana sijui vipi, njoo TTCL sasa ndo vituko tupu

Yaani ni sawa mtoto amesimangiwa chakula kwa jirani ameshindwa kula halafu kufika home tena mzazi/mlezi anamnyima chakula kama adhabu

Tunanyanyaswa ugenini (mtaani) ukisema basi ngoja nikimbilie nyumbani ndo kabisa hakuna nafuu... unatamani kurudi hukohuko ambapo siyo kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee.
Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher?

You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be charged a processing fee of TZS.606.00 and a Service Fee of TZS.404.00 to accumulate as per repayment span.
TCRA hebu njooni huku fastaaa
 
Huu Utapeli ni Enyeji sana nchini -- tena upo Karibia kwenye mitandao Yote vinara ya simu ' Tigo ndio usiseme '' Nashangaa TCRA wameshindwa kulidhibiti hilo ....sijui nao kuna Mgao huwa wanachukua unaotokana na huo wizi kwa wananchi !?

Back
Top Bottom