Ukimchukia msanii sio lazima uchukie kazi zake, mtu ana mchukia msanii kama msanii sio nyimbo pia unaweza mpenda msanii na akatoa nyimbo ukaichukia vile vile japo ni fan wake, naamin hata domo kuna nyimbo za kiba anazipenda and the same applies to kiba.Wakiulizwa kwanini unamchukia hoja itakayokuja alimdhalilisha wema..
Kua team kiba haimaanishi ndo umchukie mondi na hii team kiba mitandaon haina muda mrefu sana. Hii team ilianza wema alivyoachana na mondi na team yake ndio ikamia kwa kiba kwamba ukiwa team wema lazima uwe team kiba.
Hlf unakuta mtu anamtukana mondi mtandaoni halafu magetoni kaweka wimbo wa mondi tena na repeat juu.
mimi nimeongelea general picture wala sijasema ni shabiki wa kiba, bt nmemwambia mleta mada kwamba sio domo peke ake ndo anachukiwa na mashabiki wa kiba but hata kiba anachukiwa na wa domo. Nadhani umenielewa.Nyie ndo mnaongoza maana adi kwenye show mnabebaga makopo ya mikojo na kujiandaa kumzomea domo pind kiba na domo kama wamepangwa kuperform kwny show moja so inadhihirisha ni kiasi gani mna chuki
ha ha ha.... kwa hyo we ni team kibamondMi shabiki wa kiba ila Mondi anatisha
Sasa maana ya kumchukia ni kitu gani? Ingekua ni hivyo hizo chuki kwenye kupiga kura zisinge onekana. Kwanini hao ambao tunajua hawampendi ndo hua kwenye kampeni ya vote 4 blahblah?Ukimchukia msanii sio lazima uchukie kazi zake, mtu ana mchukia msanii kama msanii sio nyimbo pia unaweza mpenda msanii na akatoa nyimbo ukaichukia vile vile japo ni fan wake, naamin hata domo kuna nyimbo za kiba anazipenda and the same applies to kiba.
Ukiichukia Man united haimaanishi huwapendi wachezaji wake au jinsi wanavyocheza dats y akitolewa mchezaji mzuri kutoka man u kuja timu yenu utafurah coz wewe unaichukia timu sio kazi wanzofanya au wachezaji wake. (mfano tu)
Team uharo hizi hata albam hawanunuiHizi timu kuna siku zitaanzisha vita subirini tu mtaona
wameambukizwa hiyo roho mbaya na huyo KING SIJUIHivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama hautautumia kufanya kazi kwa bidii ili nawe ufanikiwe.
Kila anachofanya Diamond kwenu ni kibaya na dhambi, mlitaka afanyaje ili mridhike? Mbona mashabiki wa Diamond hawamchukii Alikiba, au mnadhani Diamond akifulia basi automaticaly Kiba ndo atachukua nafasi yake? Hii mambo inawaharibia hadi wasanii wengine wanaonekana hawana mana bali ni Ali kiba na Diamond ndo wenye maana. Kucha kutwa kumwaga povu juu ya Diamond.
Nyie mkimuona mtu anakosa pesa ya kula ndo mnafurahi, uchawi huo.
hivi hawa wasanii hawa barnaba bella belle 9 ben pol jux awana kiki ama mashabiki hawanaHivi ninyi Team Kiba mbona mna chuki sana iliyopitiliza kwa Diamond? Mimi nashangaa sijui dogo wa watu kawakosea nini. Watanzania huwa tuna wivu sana kuona mtu ana mafanikio. Wivu haujengi kama hautautumia kufanya kazi kwa bidii ili nawe ufanikiwe.
Kila anachofanya Diamond kwenu ni kibaya na dhambi, mlitaka afanyaje ili mridhike? Mbona mashabiki wa Diamond hawamchukii Alikiba, au mnadhani Diamond akifulia basi automaticaly Kiba ndo atachukua nafasi yake? Hii mambo inawaharibia hadi wasanii wengine wanaonekana hawana mana bali ni Ali kiba na Diamond ndo wenye maana. Kucha kutwa kumwaga povu juu ya Diamond.
Nyie mkimuona mtu anakosa pesa ya kula ndo mnafurahi, uchawi huo.
Povu lako tu lina majibu tosha nani anamchukia mwenzie kati ya mashabiki wa hizo timu mbili. Kwanza mi naonaga timu kiba wengi hawanaga time na huyo mtu wenu hata kiba mwnyw hana muda panic inatokea kwenu cjui mnaogopa nnVitu hivi hapa ndio vinawafanya wamchukie MOND.
1.Kazidiwa pesa msanii wao.
2.kazidiwa tuzo.
3.kazidiwa shoo.
4.Mond ana bendi kiba hana.
5.Mond anamiliki studio kiba hana.
6.Mond anamiliki lebo yenye nguvu,kiba hana.
7.Waliomzunguuka Mond wote ni maarufu,kiba yeye mwenyewe bado anautafuta umaarufu.
8.Mond anapiga gitta kiba hawezi chombo chochote cha muziki.
9.MOND ANA MIJENGO YA KUTOSHA,KIBA YUPO KWA MAZA.
10.MOND ANA HADHI YA KIMATAIFA,KIBA HANA TOFAUTI NA MANFONGO.
11.Kiba yupo chini ya uongozi,Mond yeye ndio kiongozi.
Mashabiki wa MOND,wanamchukia kiba kwa sababu hizi.
1.Kwa kumlinganisha na MOND,wakati hamfikii kwa lolote.
2.Kwa kauli zake za ukigeugeu,mfano "mimi muziki wangu ni mkubwa kuliko tuzo" hatujakaa sawa anazililia tuzo.
3.Kiba kila mnapohojiwa lazima apige dongo kwa mond,wakati mond hajawahi kumpiga dongo.
4.Kufeli kwa mambo yake kuwasukumia WCB,wakati WCB wakifeli yao hawaangaiki na yeye.
Ila mashabiki wa kiba ndo wanaongoza kwa chuki coz mpk wanamtupiaga makopo domo akiwa anapafom lkn cjawai on mashabiki wa domo wakifanya uwo upuuzimimi nimeongelea general picture wala sijasema ni shabiki wa kiba, bt nmemwambia mleta mada kwamba sio domo peke ake ndo anachukiwa na mashabiki wa kiba but hata kiba anachukiwa na wa domo. Nadhani umenielewa.
Mi nina povu na wewe umekerekwa na povu langu,ndio maana ukani quote si ndio.......... ??Povu lako tu lina majibu tosha nani anamchukia mwenzie kati ya mashabiki wa hizo timu mbili. Kwanza mi naonaga timu kiba wengi hawanaga time na huyo mtu wenu hata kiba mwnyw hana muda panic inatokea kwenu cjui mnaogopa nn
Umesahau mpk mnabebaga makopo ya mikojo na kuzomea ili aonekane boss kapafom vzurPovu lako tu lina majibu tosha nani anamchukia mwenzie kati ya mashabiki wa hizo timu mbili. Kwanza mi naonaga timu kiba wengi hawanaga time na huyo mtu wenu hata kiba mwnyw hana muda panic inatokea kwenu cjui mnaogopa nn