Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
ha ha ha ha ha af unatokwaa povu wakat hupati hata kumi.ujinga kuchukia mtu usiyemjua...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha af unatokwaa povu wakat hupati hata kumi.ujinga kuchukia mtu usiyemjua...!!
Sasa wewe ndio hovyo kabisa, sasa umeisoma ya nini post ndefu hivi kama kweli unajua kujali muda?Hii nguvu uliyotumia kuandika post ndefu hivi ungeitumia kupalilia majani hapo nje kwenu.
Wanaelewa vizuri sana tu sema kiburi kimewajaaMnagang'ania ooh ana sauti nzuri, Kuna washiriki wa BSS wana vocal kali kuliko huyo msanii Leo wako wapi, asikudanye mtu diamond platnumz ni msanii anayejituma na anamelody nyingi, ndio maana anaweza kufanya aina nyingi za mziki kurap, regae, kuimba vanga (mdogomdogo), afro pop, mduara (nasema nawe), bongo fleva nk, nadhani juzi ktk wimbo wa coke studio alifanya kitu tofauti. Kuhusu huyo jamaa kushindanishwa na diamond platnumz ni gia ya kurudi kwenye gem, ili watu wamwonee hurumaView attachment 437579 na si vyinginevyo
Usifananishe mashabiki wa simba na yanga na vitu vyakijingaNaona povu limekutoka tena la sabuni za kupima. inshort hapo hakuna chuki ni upinzani tu kati ya mashabiki. ni sawa kama simba na yanga. yanga ata ilete kombe la dunia mbele ya mshabiki wa simba ni sawa na kazi bure.
Kizuri kikikosekana hata kibaya huonekana kizuriWaambie Dada zao KARIAKOO waje ulaya...
Wakiposti TEMBO sisi tunapost SHOW...maneno ya chibu dangoteee afu kiba hajajibu sielewi Nani ana chuki au anamfatafata mwenzie au anatafta kiki kuandikwa magazetini hahahahaaaaa itbaki hivi ALIKIBA NI MWANAMUZIKI MZURI, DIAMOND NI MTUMBUIZAJI MZURI..mashabiki wote wa timu hizi mbili hakuna anayempenda msanii wa upande mwingine OVA.
Sasa we unaona simba na yanga co wajinga pia?Usifananishe mashabiki wa simba na yanga na vitu vyakijinga
Diamond amewafanya mmekuwa machizi ht kazi hamfanyi mwenzenu anaingiza hela nyie hata chai hamjanywa mnawaza kubishana tuNa kinawakera kweli sio masihara , maana mnatamani kiba ndio awe kwenye hiyo position ya dai, tatizo mlikuwa na matarajio makubwa mnoooo ya kiba kupanda vuuup kama kishada huku mkijipa moyo kuwa dai automatically atashuka sasa imekuwa ngumu kumshusha kirahisi kama mlivyokuwa mnatarajia na ndio maana adreline zinawamwagika kwa wingi kila dai anavyokohoa. ILa mlipofika sio mbaya.
My take: tusipende kuchukiliana poa, usimdharau usiyemjua MPAKA LEO TEAM KIBA NA KIBA MWENYEWE ANAAMINI HESHIMA au UKUBWA WA JINA LA DAI UNASTAHILI KUWA WA KIBA, ukiuliza kwanini utajibiwa kiba ndio mwenye kipaji cha kuimba, like seriously sijui nani aliwacremisha hii kitu (hii mentality imemcost kiba in big way) na bado itamcost kama hamtabadilisha huo mtazamo KIPAJI NA BIDII YA KAZI SHOULD WORK TOGETHER, sasa wakati kiba akiwa mejiweka ndani kama utumbo akisubiri kipaji kimfanyie kazi dai is out there every where working like hell to keep himself up n up na hiyo ndio sababu KUBWAAAAAAAA dai ANAPENDWA BUREEEEEE Kiba si anapendewa kipaji chake? Dai yeye anapendwa bureeee.