Hivi team Kiba kwanini mnamchukia Diamond kupita kiasi?

Hivi team Kiba kwanini mnamchukia Diamond kupita kiasi?

Mnagang'ania ooh ana sauti nzuri, Kuna washiriki wa BSS wana vocal kali kuliko huyo msanii Leo wako wapi, asikudanye mtu diamond platnumz ni msanii anayejituma na anamelody nyingi, ndio maana anaweza kufanya aina nyingi za mziki kurap, regae, kuimba vanga (mdogomdogo), afro pop, mduara (nasema nawe), bongo fleva nk, nadhani juzi ktk wimbo wa coke studio alifanya kitu tofauti. Kuhusu huyo jamaa kushindanishwa na diamond platnumz ni gia ya kurudi kwenye gem, ili watu wamwonee hurumaView attachment 437579 na si vyinginevyo
Wanaelewa vizuri sana tu sema kiburi kimewajaa
 
These teams are playing each other. Both of them are trying to play victim of hatred of the other.
 
Waambie Dada zao KARIAKOO waje ulaya...
Wakiposti TEMBO sisi tunapost SHOW...maneno ya chibu dangoteee afu kiba hajajibu sielewi Nani ana chuki au anamfatafata mwenzie au anatafta kiki kuandikwa magazetini hahahahaaaaa itbaki hivi ALIKIBA NI MWANAMUZIKI MZURI, DIAMOND NI MTUMBUIZAJI MZURI..mashabiki wote wa timu hizi mbili hakuna anayempenda msanii wa upande mwingine OVA.
 
Naona povu limekutoka tena la sabuni za kupima. inshort hapo hakuna chuki ni upinzani tu kati ya mashabiki. ni sawa kama simba na yanga. yanga ata ilete kombe la dunia mbele ya mshabiki wa simba ni sawa na kazi bure.
Usifananishe mashabiki wa simba na yanga na vitu vyakijinga
 
Wanaona Domo ana mafanikio kuliko wao na kiongozi wao Kiba, so lazma waone wivu na chuki waswahili ndio kawaida yao
 
Waambie Dada zao KARIAKOO waje ulaya...
Wakiposti TEMBO sisi tunapost SHOW...maneno ya chibu dangoteee afu kiba hajajibu sielewi Nani ana chuki au anamfatafata mwenzie au anatafta kiki kuandikwa magazetini hahahahaaaaa itbaki hivi ALIKIBA NI MWANAMUZIKI MZURI, DIAMOND NI MTUMBUIZAJI MZURI..mashabiki wote wa timu hizi mbili hakuna anayempenda msanii wa upande mwingine OVA.
Kizuri kikikosekana hata kibaya huonekana kizuri

Diamond hajafikia level zng labda umufananishe na Abdul kiba

Kama ni kiti basi kilikuwa na vumbi tu mm nimerudi kufuta na kukaa tena na kama tupo kwenye siti labda yeye back seat
Ni baadhi ya kauli ambazo kiba alizitoa kumkashifu domo lkn domo hakumjibu akapiga kimy
 
Asilimia kubwa wanaomchukia ni masikini wakutupa hana kazi ya maana zaidi ya majungu na matusi mitandaoni wana mchukia mond coz sio level zao, mond mpenda mafanikio na ku hustle wanaomchukia diamond ni masikin wakutupwa omba omba na wapiga dili uchwara wasiojua future zao na bundle za kuunga unga walihongwa buku mbili mbili na kibakuli za viroba wakaenda mfanyia fujo mond fiesta ile ilopita mwakajuz over!
 
kama mnampenda huo ni uamuzi wenu ila kuweni wastaarabu isiwe kero kwa wengine siyo lazima tumpende au tumchukie.... you can't tell us what to do tupo busy na mambo ya msingi
 
Na kinawakera kweli sio masihara , maana mnatamani kiba ndio awe kwenye hiyo position ya dai, tatizo mlikuwa na matarajio makubwa mnoooo ya kiba kupanda vuuup kama kishada huku mkijipa moyo kuwa dai automatically atashuka sasa imekuwa ngumu kumshusha kirahisi kama mlivyokuwa mnatarajia na ndio maana adreline zinawamwagika kwa wingi kila dai anavyokohoa. ILa mlipofika sio mbaya.
My take: tusipende kuchukiliana poa, usimdharau usiyemjua MPAKA LEO TEAM KIBA NA KIBA MWENYEWE ANAAMINI HESHIMA au UKUBWA WA JINA LA DAI UNASTAHILI KUWA WA KIBA, ukiuliza kwanini utajibiwa kiba ndio mwenye kipaji cha kuimba, like seriously sijui nani aliwacremisha hii kitu (hii mentality imemcost kiba in big way) na bado itamcost kama hamtabadilisha huo mtazamo KIPAJI NA BIDII YA KAZI SHOULD WORK TOGETHER, sasa wakati kiba akiwa mejiweka ndani kama utumbo akisubiri kipaji kimfanyie kazi dai is out there every where working like hell to keep himself up n up na hiyo ndio sababu KUBWAAAAAAAA dai ANAPENDWA BUREEEEEE Kiba si anapendewa kipaji chake? Dai yeye anapendwa bureeee.
Diamond amewafanya mmekuwa machizi ht kazi hamfanyi mwenzenu anaingiza hela nyie hata chai hamjanywa mnawaza kubishana tu
 
Back
Top Bottom