Hivi team ya Alikiba hawaoni wanamharibia ...hii staili ya kuipa ngoma promo

carnte

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2017
Posts
362
Reaction score
425
Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce

My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki

carnte himself
 
pambanana hali yako
 
Kuna ubaya gani yeye kupigiwa promo?!!!Hao watu maarufu sio watz?sio binadam?hawana hisia zao binafs?

Makonda ni mlezi wa WCB unalizungumziaje hiloo?

Acheni chuki vijanaaa,chuki syndrome mbaya sana!
Mtaishia hvyo hvyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muambie huyoo[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea vitu kiuhalisia...tatizo ni kwamba mtu hautoi hoja unakuja na povu la team yako
Mtazamo Wangu,hizi team zitaharibu bingoflava...Diamond akiimba utumbo team yake watasifia tuu...Kiba nae akija na kitu cha ajabu watasifia...hizi team zina watu wengi...kuna ngoma kali za wasanii zimetoka kubwa kuliko hata hiyo Seduce au Zilipendwa...lakini u team ndo unaharibu

Ngoja nijisikilizie "Malaika" ya Miriam Makeba nikamaliza nimsikilize Franklin Boukaka au Mopongo love

carnte himself
 
Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce

My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki

carnte himself
Yaaani viroho vinawauma mlivyo na mioyo ya korosho.

Mpaka Christina shusho kauelewa. Si mchezo.

Seduce me ni ngoma Kali sana. Kaisikilize uielewe ndo utaujua utamu wake.

NOTE: usiende kuusikiliza kiushabiki ili uukosoe. Usikilize ili uuelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naongelea vitu kiuhalisia...tatizo ni kwamba mtu hautoi hoja unakuja na povu la team yako
Mtazamo Wangu,hizi team zitaharibu bingoflava...Diamond akiimba utumbo team yake watasifia tuu...Kiba nae akija na kitu cha ajabu watasifia...hizi team zina watu wengi...kuna ngoma kali za wasanii zimetoka kubwa kuliko hata hiyo Seduce au Zilipendwa...lakini u team ndo unaharibu

Ngoja nijisikilizie "Malaika" ya Miriam Makeba nikamaliza nimsikilize Franklin Boukaka au Mopongo love

carnte himself
Wafanyie promo hao wanamuziki wengine sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge noma, kawaomba wabunge na magiant wa biashara kina Mo wajifanye wameupenda sana wimbo wa Alikiba ukute hata hawajausikiliza, ila mission imefanikiwa maana hiyo promo si ya nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu roho zina wauma.. Poleni sanaa.. King kiba[emoji146] hatariii

Tears of the sun
 
Kuna ubaya gani yeye kupigiwa promo?!!!Hao watu maarufu sio watz?sio binadam?hawana hisia zao binafs?

Makonda ni mlezi wa WCB unalizungumziaje hiloo?

Acheni chuki vijanaaa,chuki syndrome mbaya sana!
Mtaishia hvyo hvyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wanaotaka wapate wao tu ni hatari kwa ustawi wa taifa
 
Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce

My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki

carnte himself
Sawa lakin Hata hao wanaomsifia hakawaomba Kwahyo akiwakataza watamwona anajisikia..... Mazingira hayaepukiki haya chamsingi asubiri time ipite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce

My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki

carnte himself

Ushaambiwa hiyo ni starter wimbo wenyewe upo njiani, panua vzr iingie
 
Back
Top Bottom