Hivi team ya Alikiba hawaoni wanamharibia ...hii staili ya kuipa ngoma promo

Hivi team ya Alikiba hawaoni wanamharibia ...hii staili ya kuipa ngoma promo

Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce

My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki

carnte himself

Akimkubali mtoto, tutarudi [HASHTAG]#teamchibu[/HASHTAG]
 
0be65e83f07e1c150ee2a2273de52051.jpg
 
Back
Top Bottom