Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce
My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki
carnte himself
Muambie huyoo[emoji1] [emoji1]Kunya anye kuku akinya bata anaharisha, Apple ni bonge moja la kampuni ila na wana wateja waaminifu dunia nzima ila wanapotoa bidhaa yao wanatenga na fungu kubwa kabisa kwa ajili ya promo mshamba wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea vitu kiuhalisia...tatizo ni kwamba mtu hautoi hoja unakuja na povu la team yako
Yaaani viroho vinawauma mlivyo na mioyo ya korosho.Management ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce
My take...watu watakuja kugundua ni promo...kitu ambacho kwa msanii mkubwa kama Alikiba ni kumshushia Hadhi...Alikiba haitaji promo katika ngoma kwa kiasi hiki
carnte himself
Wafanyie promo hao wanamuziki wengine sasaNaongelea vitu kiuhalisia...tatizo ni kwamba mtu hautoi hoja unakuja na povu la team yako
Mtazamo Wangu,hizi team zitaharibu bingoflava...Diamond akiimba utumbo team yake watasifia tuu...Kiba nae akija na kitu cha ajabu watasifia...hizi team zina watu wengi...kuna ngoma kali za wasanii zimetoka kubwa kuliko hata hiyo Seduce au Zilipendwa...lakini u team ndo unaharibu
Ngoja nijisikilizie "Malaika" ya Miriam Makeba nikamaliza nimsikilize Franklin Boukaka au Mopongo love
carnte himself
Vijana wanaotaka wapate wao tu ni hatari kwa ustawi wa taifaKuna ubaya gani yeye kupigiwa promo?!!!Hao watu maarufu sio watz?sio binadam?hawana hisia zao binafs?
Makonda ni mlezi wa WCB unalizungumziaje hiloo?
Acheni chuki vijanaaa,chuki syndrome mbaya sana!
Mtaishia hvyo hvyooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kachuja...Kiba alishachuja tangu zama sema watu wanatafuta wakushindanisha na diamond
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakin Hata hao wanaomsifia hakawaomba Kwahyo akiwakataza watamwona anajisikia..... Mazingira hayaepukiki haya chamsingi asubiri time ipiteManagement ya Alikiba nafikiri waangalie,hii staili ya kuitafutia ngoma promo itamharibia na mwisho kuonekana hawezi ...ngoma aliyotoa ni nzuri ya kawaida,sasa utasikia Mbunge Flan...No Dewji...Waziri...aasifia Seduce