Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ishu sio gem hii ishu ni gem ya african lyon mku,Hiyo mechi hakurecordiwa...kumbuka hiyo mechi ilichezwa kisanii kwa shinikizo la bodi ya ligi thats why ilichezwa j3.Wakati Azam wakijua mechi itachezwa j5 ili wasafiri kwenda kuirusha wakaambiwa mwchi ni leo(j3)na siyo keshokutwa(j5)So ni Simba waliandaa mazingira mapema ili wakiyumba uwanjani wajue pakutokea.Kumbuka pia ata waamuzj wa mechi ile hawajui matokeo yaliisha vipi.Nwamuzi wa kati anasema sare,mwamuzi wa pembeni mmoja anasema 1-0,mwamuzi mwingine 2-0 na kamisaa nae 2-1.Wachezaji wa Africa Lyion wanasema siku hiyo haikutoka card na mchezo ulikua wa amani tu.
Sasa kwa mazingira haya uoni ni utata mtupu?
Kumbuka pia barua ya Simba ikifika FIFA wao watauliza TFF kuomba ufafanunuzi kabla ya kutoa maamuzi...unategemea TFF wataitetea Simba wakati Simba hawajapejeka ata copy TFF kuhusu rufaa yao?na sheria inasena ni lazima copy ipitie TFF maana ndiye mwanachama wake?lakini pia kumbuka pia FIA wanasisitiza mpira uchezwe uwanjani na sii mezani!!!!kwahiyo hili swala ni gumu kwa Simba..cha msingi wao wawaeleze wanachama wao ukweli ni wapi waliteleza ili wajipange kwa kwa msimu ujao.
Alafu ata malalamiko ya Simba yalifika BODI YA LIGI alhamisi wakati mechi ilichezwa weekend.Kazi ya bodi ya ligi ni ni kuhakisha wanatoa report ya card kwenye pre matching meeting.Why kama Faky alikua na card wahakusema?
Tatizo tunaishi kijanja janja sana.
Ht tukidanganywa huwa tunafanikiwa ndo maan kessy na yanga walipgwa fain, tulimtoa mazembeUzuri mashabiki wa simba wamezoea kudanganywa miaka yote Mara mikataba ifojiwe Mara noti za okwi ziliwe. Sasa cha kujiuliza timu ilikuwa mbele point 8 kwa yanga na baadae mtani akafuta zote na mtu kudaiwa na kama simba angeshinda ndani ya uwanja haya yote yasingetokea. Note hakuna majibu FIFA maana lazima tff wataitwa na kutoa maelezo. Simba viongozi wangu vimeo kabisaaa japo ni mshabiki damu. Tusubiri adhabu sasa
Kumbe faini tu na sio kupokonywa point?Ht tukidanganywa huwa tunafanikiwa ndo maan kessy na yanga walipgwa fain, tulimtoa mazembe
Mkuu hebu tueleze simba wanahusikaje kuandaa mechi ya kagera sugar na African lyon? Unasema FIFA wanasisitiza mchezo wa uwanjani Ilikuwaje CAF wakakubali rufaa ya serengeti boys? eti lazima FIFA waulize TFF Unakumbuka jinsi chama cha mpira wa miguu cha CONGO kilivyokuwa kinapiga chenga hata kukutana na maofisa wa CAF wakati wa rufaa ya TFF kuhusu yule mchezaji wao, mbona maamuzi yalifanyika? Hata kama rufaa ya simba itatupwa lakini itasaidia kuonyesha ubabaishaji wa malinzi na genge lakeHiyo mechi hakurecordiwa...kumbuka hiyo mechi ilichezwa kisanii kwa shinikizo la bodi ya ligi thats why ilichezwa j3.Wakati Azam wakijua mechi itachezwa j5 ili wasafiri kwenda kuirusha wakaambiwa mwchi ni leo(j3)na siyo keshokutwa(j5)So ni Simba waliandaa mazingira mapema ili wakiyumba uwanjani wajue pakutokea.Kumbuka pia ata waamuzj wa mechi ile hawajui matokeo yaliisha vipi.Nwamuzi wa kati anasema sare,mwamuzi wa pembeni mmoja anasema 1-0,mwamuzi mwingine 2-0 na kamisaa nae 2-1.Wachezaji wa Africa Lyion wanasema siku hiyo haikutoka card na mchezo ulikua wa amani tu.
Sasa kwa mazingira haya uoni ni utata mtupu?
Kumbuka pia barua ya Simba ikifika FIFA wao watauliza TFF kuomba ufafanunuzi kabla ya kutoa maamuzi...unategemea TFF wataitetea Simba wakati Simba hawajapejeka ata copy TFF kuhusu rufaa yao?na sheria inasena ni lazima copy ipitie TFF maana ndiye mwanachama wake?lakini pia kumbuka pia FIA wanasisitiza mpira uchezwe uwanjani na sii mezani!!!!kwahiyo hili swala ni gumu kwa Simba..cha msingi wao wawaeleze wanachama wao ukweli ni wapi waliteleza ili wajipange kwa kwa msimu ujao.
Alafu ata malalamiko ya Simba yalifika BODI YA LIGI alhamisi wakati mechi ilichezwa weekend.Kazi ya bodi ya ligi ni ni kuhakisha wanatoa report ya card kwenye pre matching meeting.Why kama Faky alikua na card wahakusema?
Tatizo tunaishi kijanja janja sana.
Hakuna namna FIFA itafanya maamuzi bila kusikiliza TFFMkuu hebu tueleze simba wanahusikaje kuandaa mechi ya kagera sugar na African lyon? Unasema FIFA wanasisitiza mchezo wa uwanjani Ilikuwaje CAF wakakubali rufaa ya serengeti boys? eti lazima FIFA waulize TFF Unakumbuka jinsi chama cha mpira wa miguu cha CONGO kilivyokuwa kinapiga chenga hata kukutana na maofisa wa CAF wakati wa rufaa ya TFF kuhusu yule mchezaji wao, mbona maamuzi yalifanyika? Hata kama rufaa ya simba itatupwa lakini itasaidia kuonyesha ubabaishaji wa malinzi na genge lake
Ahsante kwa kunielewa....Mkuu bodi ya ligi inaongozwa na wanachama WA Simba kwa 75%.Hili ni tatizo.Pia kumbuka bodi ya ligi si mwanachama wa FIFA,bali TFF ndiye mwanachama wa FIFA...So FIFA wakihitaji ufafanuzi kutoka TFF ni lazima waupeleke...endapo wasipotoa ushirikiano kwa fifa ni wazi Simba watapewa point.Jee unahisi kamati hiyo ya TFF iliyotengua maamuzi ya bodi ya ligi itaipiga chenga fifa kama walivyofanya hao Congo?Mkuu hebu tueleze simba wanahusikaje kuandaa mechi ya kagera sugar na African lyon? Unasema FIFA wanasisitiza mchezo wa uwanjani Ilikuwaje CAF wakakubali rufaa ya serengeti boys? eti lazima FIFA waulize TFF Unakumbuka jinsi chama cha mpira wa miguu cha CONGO kilivyokuwa kinapiga chenga hata kukutana na maofisa wa CAF wakati wa rufaa ya TFF kuhusu yule mchezaji wao, mbona maamuzi yalifanyika? Hata kama rufaa ya simba itatupwa lakini itasaidia kuonyesha ubabaishaji wa malinzi na genge lake
Najua mkuu..ndio maana nikakwambia mechi hiyo ilipangwa kihuni.Ratiba inasema mechi ilikua ichezwe j5,but bodi ya ligi ikaishtukiza ichezwe j3 na Azam hawakuweza kuiwahi.So ata FIFA hawawezi kutoa maamuzi yoyote bila TFF kuhusuka!mechi haikurecodiwa na report ya kamisaa na Mwamuzi hazifanani.Ishu sio gem hii ishu ni gem ya african lyon mku,
Kwani nyie na polisi dar ilukuwaje? sheria zingefatwa kama mnavyotaka zifatwe huku mngefika final FA?TFF hawajakanusha mchezaji kupewa njano ila ni kuwa SIMBA walichelewesha fedha ya rufaa
HADI HAPO KWA MWENYE AKILI KASHAJUA SIMBA NI BINGWA
Hakuna popote niliposema kuwa FIFA watafanya maamuzi bila kuishirikisha TFF, lakini ni lazima ujue hawataishia kuwahoji hao tu, kuna ile kamati ya saa 72, viongozi wa vilabu husika nk, umesema wajumbe wa kamati ya saa 72 asilimia 75 ni watu wa simba, hebu tueleze wajumbe wa kamati ya maadili nao ni wapenzi wa timu gani? Vipi kuhusu uongozi wa juu wa TFF ( mwenyekiti na katibu wake?), tukubaliane kwamba yanga wamekabidhiwa kombe lakini bingwa atajulikana baada ya maamuzi ya FIFA na sio vinginevyoAhsante kwa kunielewa....Mkuu bodi ya ligi inaongozwa na wanachama WA Simba kwa 75%.Hili ni tatizo.Pia kumbuka bodi ya ligi si mwanachama wa FIFA,bali TFF ndiye mwanachama wa FIFA...So FIFA wakihitaji ufafanuzi kutoka TFF ni lazima waupeleke...endapo wasipotoa ushirikiano kwa fifa ni wazi Simba watapewa point.Jee unahisi kamati hiyo ya TFF iliyotengua maamuzi ya bodi ya ligi itaipiga chenga fifa kama walivyofanya hao Congo?
Jiongeze mkuu acha ushabiki.
Simba wajipange kwa msimu ujao na Yanga ndiye Bingwa wa Tanzania mkuu!
Fifa hawatakuwa na muda wa kuwahoji kamati ya masaa72 wala viongozi wa vilabu.Bali wao watafata report ya TFF mkuu.Yani FIFA waje Tanzania kumuhoji Meck Mexime?duh!!!hivi upo sawa kichwani wewe?kesi za hivyo zipo nyingi sana Duniani mkuu na ni chama cha soka cha nchi husika ndio watakao toa report ya mwisho maana ndiye nwanachama wao!!Hakuna popote niliposema kuwa FIFA watafanya maamuzi bila kuishirikisha TFF, lakini ni lazima ujue hawataishia kuwahoji hao tu, kuna ile kamati ya saa 72, viongozi wa vilabu husika nk, umesema wajumbe wa kamati ya saa 72 asilimia 75 ni watu wa simba, hebu tueleze wajumbe wa kamati ya maadili nao ni wapenzi wa timu gani? Vipi kuhusu uongozi wa juu wa TFF ( mwenyekiti na katibu wake?), tukubaliane kwamba yanga wamekabidhiwa kombe lakini bingwa atajulikana baada ya maamuzi ya FIFA na sio vinginevyo