Hivi teknolojia ya video haiwezi kumaliza utata wa mechi ya Simba na kagera?

Hivi teknolojia ya video haiwezi kumaliza utata wa mechi ya Simba na kagera?

Fifa hawatakuwa na muda wa kuwahoji kamati ya masaa72 wala viongozi wa vilabu.Bali wao watafata report ya TFF mkuu.Yani FIFA waje Tanzania kumuhoji Meck Mexime?duh!!!hivi upo sawa kichwani wewe?kesi za hivyo zipo nyingi sana Duniani mkuu na ni chama cha soka cha nchi husika ndio watakao toa report ya mwisho maana ndiye nwanachama wao!!
Mkuu huwezi kujenga hoja bila kutumia lugha za kuudhi, anyway muda utaongea
 
Hiyo mechi hakurecordiwa...kumbuka hiyo mechi ilichezwa kisanii kwa shinikizo la bodi ya ligi thats why ilichezwa j3.Wakati Azam wakijua mechi itachezwa j5 ili wasafiri kwenda kuirusha wakaambiwa mwchi ni leo(j3)na siyo keshokutwa(j5)So ni Simba waliandaa mazingira mapema ili wakiyumba uwanjani wajue pakutokea.Kumbuka pia ata waamuzj wa mechi ile hawajui matokeo yaliisha vipi.Nwamuzi wa kati anasema sare,mwamuzi wa pembeni mmoja anasema 1-0,mwamuzi mwingine 2-0 na kamisaa nae 2-1.Wachezaji wa Africa Lyion wanasema siku hiyo haikutoka card na mchezo ulikua wa amani tu.
Sasa kwa mazingira haya uoni ni utata mtupu?
Kumbuka pia barua ya Simba ikifika FIFA wao watauliza TFF kuomba ufafanunuzi kabla ya kutoa maamuzi...unategemea TFF wataitetea Simba wakati Simba hawajapejeka ata copy TFF kuhusu rufaa yao?na sheria inasena ni lazima copy ipitie TFF maana ndiye mwanachama wake?lakini pia kumbuka pia FIA wanasisitiza mpira uchezwe uwanjani na sii mezani!!!!kwahiyo hili swala ni gumu kwa Simba..cha msingi wao wawaeleze wanachama wao ukweli ni wapi waliteleza ili wajipange kwa kwa msimu ujao.
Alafu ata malalamiko ya Simba yalifika BODI YA LIGI alhamisi wakati mechi ilichezwa weekend.Kazi ya bodi ya ligi ni ni kuhakisha wanatoa report ya card kwenye pre matching meeting.Why kama Faky alikua na card wahakusema?
Tatizo tunaishi kijanja janja sana.
Yaani Simba walijua mapema? Siyo bure utakua mganga wa kienyeji wewe!
 
Mkuu hebu tueleze simba wanahusikaje kuandaa mechi ya kagera sugar na African lyon? Unasema FIFA wanasisitiza mchezo wa uwanjani Ilikuwaje CAF wakakubali rufaa ya serengeti boys? eti lazima FIFA waulize TFF Unakumbuka jinsi chama cha mpira wa miguu cha CONGO kilivyokuwa kinapiga chenga hata kukutana na maofisa wa CAF wakati wa rufaa ya TFF kuhusu yule mchezaji wao, mbona maamuzi yalifanyika? Hata kama rufaa ya simba itatupwa lakini itasaidia kuonyesha ubabaishaji wa malinzi na genge lake
Mambo mengine ni aibu kweli kweli wanaume kushobokea. UMEPIGWA 2-1 uwanjani, unaanza ngonjera za kadi za manjano sijui kliniki sababu ya mimba ya katerero.

Jifunzeni kucheza mpira, punguzeni mdomo. Yanga haijaanza kubeba makombe leo. Imebeba ndani ya nchi na imewahi kufanya hivyo nje ya nchi. Shida ya Simba ni UMAMA WA NYUMBANI na mdomo.

Nendeni FIFA mkaombe poo
 
Mheshimiwa Ismail Aden Rage ndio anawafahamu Simba vizuri...yaani mtu ukong'otwe 2 uwanjani unaanza kulialia. Kagera Sugar walicheza 12 uwanjani?

Siku Yanga wakianza kuwa timu demu-demu kama hivi nahamia Ndanda
 
Mie simba Dam dam
lakini suala la kulilia Ubimgwa wa mezani ni upuuzi
kwanini tulifungwa!?
Kwani wao waliongezeka uwanjani
 
Mambo mengine ni aibu kweli kweli wanaume kushobokea. UMEPIGWA 2-1 uwanjani, unaanza ngonjera za kadi za manjano sijui kliniki sababu ya mimba ya katerero.

Jifunzeni kucheza mpira, punguzeni mdomo. Yanga haijaanza kubeba makombe leo. Imebeba ndani ya nchi na imewahi kufanya hivyo nje ya nchi. Shida ya Simba ni UMAMA WA NYUMBANI na mdomo.

Nendeni FIFA mkaombe poo
Mkuu ungeweza kutumia lugha ya staha na ujumbe wako ungeeleweka vizuri tu
 
Back
Top Bottom