Hiyo mechi hakurecordiwa...kumbuka hiyo mechi ilichezwa kisanii kwa shinikizo la bodi ya ligi thats why ilichezwa j3.Wakati Azam wakijua mechi itachezwa j5 ili wasafiri kwenda kuirusha wakaambiwa mwchi ni leo(j3)na siyo keshokutwa(j5)So ni Simba waliandaa mazingira mapema ili wakiyumba uwanjani wajue pakutokea.Kumbuka pia ata waamuzj wa mechi ile hawajui matokeo yaliisha vipi.Nwamuzi wa kati anasema sare,mwamuzi wa pembeni mmoja anasema 1-0,mwamuzi mwingine 2-0 na kamisaa nae 2-1.Wachezaji wa Africa Lyion wanasema siku hiyo haikutoka card na mchezo ulikua wa amani tu.
Sasa kwa mazingira haya uoni ni utata mtupu?
Kumbuka pia barua ya Simba ikifika FIFA wao watauliza TFF kuomba ufafanunuzi kabla ya kutoa maamuzi...unategemea TFF wataitetea Simba wakati Simba hawajapejeka ata copy TFF kuhusu rufaa yao?na sheria inasena ni lazima copy ipitie TFF maana ndiye mwanachama wake?lakini pia kumbuka pia FIA wanasisitiza mpira uchezwe uwanjani na sii mezani!!!!kwahiyo hili swala ni gumu kwa Simba..cha msingi wao wawaeleze wanachama wao ukweli ni wapi waliteleza ili wajipange kwa kwa msimu ujao.
Alafu ata malalamiko ya Simba yalifika BODI YA LIGI alhamisi wakati mechi ilichezwa weekend.Kazi ya bodi ya ligi ni ni kuhakisha wanatoa report ya card kwenye pre matching meeting.Why kama Faky alikua na card wahakusema?
Tatizo tunaishi kijanja janja sana.