NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Mbona huwa ana lalamika sana Kama Tff wanasingiziwa si wajutokeze wakanushe kuwa hawajamfungia kwenda uwanjaniWakati inatolewa ile adhabu, haikusemwa asiende uwanjani! Amekuwa akikuza jambo lile yeye mwenyewe tu!
Jikite kwenye hoja acha kukurupuka na kuleta ushabiki.Kwahiyo Manara angekuwa Uwanjani Yanga 3 USM Alger 0.
Karia kwenye Utawala wake Klabu zetu zimekuwa bora Barani Afrika apewe Mi5 tena
Nani alikwambia huwa anaenda kuangalia mpira.Nimeshituka juzi Kati Manara akilalamika kuwa angekuwa hajafungiwa kuingia uwanjani angeenda kuangalia mpira.
Sasa najiuliza ni kanuni gani iliyotumika kufungiwa mpaka kuingia uwanjani tu Kama shabiki??
au Manara ni gaidi mpaka wameamua kumpiga pini kiasi hiki??
NALIA NGWENA nitafurahi sana endapo nitapata majibu thabiti kutoka kwa wajuzi (wabobezi) wa kanuni hizi za sheria za TFF.
Nawasilisha hoja.
Hivi mashababiki wanapofungiwa kuingia uwanjani kwa mechi kadhaa huwa wanazingatia sheria zipi?Kifungu gani!? au Kanuni gani?
Tff hawabishani na wapumbavu, yeye alisema yanga wenye akili wawili tuMbona huwa ana lalamika sana Kama Tff wanasingiziwa si wajutokeze wakanushe kuwa hawajamfungia kwenda uwanjani
Labda wachukue kombe la kahawaHongera sana kwa kuchukua kombe
Na rage alisemaje??Tff hawabishani na wapumbavu, yeye alisema yanga wenye akili wawili tu