Hivi TFF ilimfungia Haji Manara kutoingia uwanjani kuangalia mpira kwa kifungu gani Cha sheria/ kanuni gani??

Hivi TFF ilimfungia Haji Manara kutoingia uwanjani kuangalia mpira kwa kifungu gani Cha sheria/ kanuni gani??

Wakati inatolewa ile adhabu, haikusemwa asiende uwanjani! Amekuwa akikuza jambo lile yeye mwenyewe tu!
Mbona huwa ana lalamika sana Kama Tff wanasingiziwa si wajutokeze wakanushe kuwa hawajamfungia kwenda uwanjani
 
Kwahiyo Manara angekuwa Uwanjani Yanga 3 USM Alger 0.
Karia kwenye Utawala wake Klabu zetu zimekuwa bora Barani Afrika apewe Mi5 tena
Jikite kwenye hoja acha kukurupuka na kuleta ushabiki.
 
Nimeshituka juzi Kati Manara akilalamika kuwa angekuwa hajafungiwa kuingia uwanjani angeenda kuangalia mpira.

Sasa najiuliza ni kanuni gani iliyotumika kufungiwa mpaka kuingia uwanjani tu Kama shabiki??

au Manara ni gaidi mpaka wameamua kumpiga pini kiasi hiki??

NALIA NGWENA nitafurahi sana endapo nitapata majibu thabiti kutoka kwa wajuzi (wabobezi) wa kanuni hizi za sheria za TFF.

Nawasilisha hoja.
Nani alikwambia huwa anaenda kuangalia mpira.
 
Kifungu gani!? au Kanuni gani?
Hivi mashababiki wanapofungiwa kuingia uwanjani kwa mechi kadhaa huwa wanazingatia sheria zipi?

mfano utasikia timu flani (aidha Simba ama Yanga) itacheza mechi 4 bila mashabiki. Unadhani sheria zipi zinatumika hapo?

Kutakuwa na universal law of football kutoka FIFA zinazoadhibu tu vitu visivyo na uungwana katika michezo.

Case ya Vini Jr dhidi ya Valencia inaweza kukupa mwanga
 
Mimi sio shabiki wa Yanga ila kifungo cha Haji kimechochewa na hisia binafsi.

Haji anaongea sana na pengine watu wanaoongea sana hatuwasemei kwa kuamini wanaweza kujisemea, ila kwa hili la kufungiwa, Haji alionewa.
 
Back
Top Bottom