Hivi TFF ilimfungia Haji Manara kutoingia uwanjani kuangalia mpira kwa kifungu gani Cha sheria/ kanuni gani??

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nimeshituka juzi Kati Manara akilalamika kuwa angekuwa hajafungiwa kuingia uwanjani angeenda kuangalia mpira.

Sasa najiuliza ni kanuni gani iliyotumika kufungiwa mpaka kuingia uwanjani tu Kama shabiki??

au Manara ni gaidi mpaka wameamua kumpiga pini kiasi hiki??

NALIA NGWENA nitafurahi sana endapo nitapata majibu thabiti kutoka kwa wajuzi (wabobezi) wa kanuni hizi za sheria za TFF.

Nawasilisha hoja.
 
Kuongozwa na Msomali ni hatari sana.....ila ngoja wajuvi waje ...
 
Nimeshituka juzi Kati Manara akilalamika kuwa angekuwa hajafungiwa kuingia uwanjani angeenda kuangalia mpira.

Sasa najiuliza ni kanuni gani iliyotumika kufungiwa mpaka kuingia uwanjani tu Kama shabiki??

au Manara ni gaidi mpaka wameamua kumpiga pini kiasi hiki??

NALIA NGWENA nitafurahi sana endapo nitapata majibu thabiti kutoka kwa wajuzi (wabobezi) wa kanuni hizi za sheria za TFF.

Nawasilisha hoja.
Kwahiyo Manara angekuwa Uwanjani Yanga 3 USM Alger 0.
Karia kwenye Utawala wake Klabu zetu zimekuwa bora Barani Afrika apewe Mi5 tena
 
Kukusaidia tu, kosa alilolifanya alilifanyia uwanjani ndiyo maana unaona adhabu inasema hivyo.
 
Back
Top Bottom