Hivi The Kilimanjaro Band wako wapi aisee?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

Nimewakumbuka sana The Kilimanjaro Band, hasa ngoma yao ile ya "Kachiri" "Tulizana Mpenzi" wananjenje na "Boko"

Hasa kiswahili kizuri kilichotumiwa na yule mzee na pale pa ukataji mauno...

[emoji444] bijou...bijou...bijou [emoji444] [emoji445]

Wale walikuwa wakali bana.
 
njenje wapo wanapiga kazi sana na ukumbi wao unajaa kila siku wapo chini ya mkali wa keyboard/kinanda. Waziri Ally..kama unakumbuka ile ngoma ya msondo alipiga ya sogea karibu ndio alipiga kinanda mkali kutoka tanga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…