Hivi TID alishamwomba msamaha Ray C?

Hivi TID alishamwomba msamaha Ray C?

Tomito Tomato

Senior Member
Joined
Feb 11, 2017
Posts
167
Reaction score
444
Huko nyuma miaka kadhaa Msanii TID alimpiga Msanii mwenzie Ray C hasa baada ya Ray C kusema mubashara kuwa TID anatumia dawa za Kulevya na akamtaka aachane nayo.

Kilichotokea ni kwamba TID alipinga na kukataa katakata kuwa anatumia huo ulaibu lakini hivi majuzi tu TID huyu huyu amejitokeza mbele ya Watanzania na kukiri kuwa alikuwa akitumia dawa za Kulevya tena kwa kipindi kirefu sana.

Je baada ya Yeye kukiri alishaenda kwa Ray C na kumuomba msamaha hasa baada ya kumpiga wakati ule alipomshutumu?
 
Aliyemfanyia Ray C vurugu ni Chid Benz wakati huo akiwa bado ana nguvu
TID aliishia kumporomoshea matusi tuu
 
nayeye anataka kutufurahisha kama steve nyerere alivyokuwa anamfurahisha mama wema
 
Back
Top Bottom