Hivi timu zetu za mpira zinajifunza kupitia michuano ya world cup 2026 inayo endelea huko marekani, Canada na Mexico?

Hivi timu zetu za mpira zinajifunza kupitia michuano ya world cup 2026 inayo endelea huko marekani, Canada na Mexico?

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Mimi sio mchelzaji wa mpira bali ni shabiki wa mpira, natamani sana wachezaji wetu katika kipindi hiki wajifunze mbinu na maarifa ya mchezo wa mpira unao onyeshwa na timu mbalimbali.
Huu ni muda wa kujifunza.

Mimi tu nimejifunza mambo mengi. Kazi kwenu wachezaji. Kama mtatumbua macho tu shauri yenu mtabaki kuwa vichwa panzi.
 
Nimegundua Diarra ni goalkeeper kweli kweli... maana hatofautiani na hawa wa Wolidi Kapu
 
nyie fikirieni hiyo afcon mnayotaka kuandaaa

ova
 
Unawaonea tu. Hakuna shortcut eti ujifunze kwa kuangalia kwenye runinga tu. Bila miundo mbinu na umri sahihi wa kujifunza hupati kitu.
 
Back
Top Bottom