wakuu ikitokea tingatinga kashinda uchaguzi mkuu je atakubali zile ziara zisizo na tija yoyote pale magogoni ambazo ufanywa na huyu msanii best kwa wakuu wa kaya, kama afanyavyo sasa kwa mkuu wetu wa kaya kila siku jamaa anaenda magogoni, je tingatinga atakubali?