KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Watanzania ni wamoja. Haijalishi tofauti ya mitazamo ya kisiasa au ya kidini. Linapokuja swala la usalama wa nchi lazima mshikamano na Umoja wetu uwe imara.
Siku kadhaa nyuma kuna mkuu mmoja wa nchi iliyopo ubavuni mwetu, ubavu wa kushoto, tena akitumia Lugha ya Kiswahili ili ujumbe utupate ipasavyo, alisema Kwamba Rwanda doesn't have the means, but they have the methods (ways). Hivyo kijiografia Rwanda ni nchi ndogo isiyo na rasilimali nyingi, lakini wao siyo migomba mifupi kama wanavyofikiriwa.
Haya magonjwa yanayoibuka moja kwa moja ni shambulizi kutoka kwa migomba mirefu. Huyu MTU si wa kumchekea hata kidogo.