KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Duh... AiseeKumbe hatari sana
Ndio mtuletee virusi?Mimi kama mtanzania mzalendo Naipenda sana Rwanda kwa namna inavyojipigania kuhakikisha Nchi Yao inakuwa salama na kupiga hatua kimaendeleo.Tanzania inatakiwa ikajifunze kwa magenius wa Paul kagame
Hamna uzalendo wa aina yako, wewe ni mamlukiMimi kama mtanzania mzalendo Naipenda sana Rwanda kwa namna inavyojipigania kuhakikisha Nchi Yao inakuwa salama na kupiga hatua kimaendeleo.Tanzania inatakiwa ikajifunze kwa magenius wa Paul kagame
Hao jamaa hasa hasa Tutsis wana uwezo wa kukaa katika 'incubation period /state/mode: even for 50 years. When they are ready, they unleash unstoppable fire.Mimi kama mtanzania mzalendo Naipenda sana Rwanda kwa namna inavyojipigania kuhakikisha Nchi Yao inakuwa salama na kupiga hatua kimaendeleo.Tanzania inatakiwa ikajifunze kwa magenius wa Paul kagame
Hatari sanaHao jamaa hasa hasa Tutsis wana uwezo wa kukaa katika 'incubation period /state/mode: even for 50 years. When they are ready, they unleash unstoppable fire.
TISS ipi??iliyojaa watoto wa Lumumba?!Watanzania ni wamoja. Haijalishi tofauti ya mitazamo ya kisiasa au ya kidini. Linapokuja swala la usalama wa nchi lazima mshikamano na Umoja wetu uwe imara.
Siku kadhaa nyuma kuna mkuu mmoja wa nchi iliyopo ubavuni mwetu, ubavu wa kushoto, tena akitumia Lugha ya Kiswahili ili ujumbe utupate ipasavyo, alisema Kwamba Rwanda doesn't have the means, but they have the methods (ways). Hivyo kijiografia Rwanda ni nchi ndogo isiyo na rasilimali nyingi, lakini wao siyo migomba mifupi kama wanavyofikiriwa.
Haya magonjwa yanayoibuka moja kwa moja ni shambulizi kutoka kwa migomba mirefu. Huyu MTU si wa kumchekea hata kidogo.
Hili ni tatizo lingine, tunaacha ku recruit watu wenye akili, tunarundika makada wa chama wasio na uwezoTISS ipi??iliyojaa watoto wa Lumumba?!
Hizi ni taarifa za kiintelijensia, wee sio sehemu yakeAny proof?
We ni mhutu wa rwandaMimi kama mtanzania mzalendo Naipenda sana Rwanda kwa namna inavyojipigania kuhakikisha Nchi Yao inakuwa salama na kupiga hatua kimaendeleo.Tanzania inatakiwa ikajifunze kwa magenius wa Paul kagame
Kwani ni vibaya kuwa mhutu?Najimegea maliasili zenu na kuzipeleka kwetu RwandaWe ni mhutu wa rwanda
We ni mhutu wa rwanda