Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini....
1. Watoto chini ya miaka 18 wanaandikishwa, ushahidi wa picha upo.
2. Makarani wanaenda nyumbani kulala na vitabu vya wapiga kura.
3. Karani wanaruka mistari na orodha ya namba kwenye vitabu vya wapiga kura.
4. Mawakala wa vyama vya upinzani hawaruhusiwi kujua idadi ya waliojiandikisha siku hiyo.
5. Watendaji wa serikali za mitaa kujiona miungu watu hawatoi ushirikiano kwa wadau tofauti na viongozi wa CCM.
6. Uwepo wa vituo nyumbani kwa viongozi na majengo ya CCM.
7. Uwepo wa vituo hewa vya kuandikisha wapiga kura.
8. Walimu kuhusika na kutoa majina ya wanafunzi wa shule zao kuandikishwa bila kufuata utaratibu.
Kama wahusika hawachukui hatua yeyote ni wakati sasa kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kuingilia kati.
CC: Rais TLS Boniface Mwabukusi.