LGE2024 Hivi TLS haiwezi kwenda Mahakamani kuhoji ukiukwaji wa sheria, taratibu na kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huko ndiko kukubalika kwa ccm kwamba itashinda kw ushindi wa kishindo labda kishindo cha kuiba na figisu na utumiaji wa policcm ili mambo yenu yaende.

Ccm bila ya figisu haina uwezo wa kushinda hata kwa 20% , mtafiti uchwara.
sio kukubalika kwa CCM tu,

bali pia kuaminika, kupendwa na kuvutia kwa CCM kwa makundi mbalimbali ya urika nchini...

ulaumu, usilaumu. Upende, usipende. CCM ushindi ni Lazima gentleman, na iko wazi kitaifa na kimataifa 🐒
 

Hao mpaka uchaguzi wao, ndiyo utawasikia. Nje ya uchaguzi wao, ni kama mamba tu ukimfumania nchi kavu.
 
Katiba Iko wazi

Hata wewe unaweza kwenda mahakamani
 
Kesi ipo mahakamani kupinga uchaguzi kusimamiwa na TAMISEMI.
Wala hawatoboi hawa watu wana Akili sana ila ya negative side, Ona kama ngorongoro, Mtu aliye fungua kesi kagoma kuwa hajafungua kesi hajahudhuria mahakamani hata siku moja alafu anaambiwa kashinda wewe huoni kama hayo ni mazingaombwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…