Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawa na sifa za kijinga.Tunachoweza ni hikiView attachment 3133416
Kila kukicha ni kusifia kila kitu!Uchawa na sifa za kijinga.
Sahv tunachojuwa ni kukatika mauno tu, na kushabikia wale madem wenye makalio makubwa na kuwapa nafasi fulaniHivi sisi waafrika tunawezq nini hususani watanzania? UDART inakufa afadhri kupanda daladala kuliko kupanda hizi takataka wanazoita mwendo kasi.
Kutokq moroco tu mpaka kariakoo unatumia masaa matatu? Sasa dhana ya mwendokasi
Uzuri,siku hazigandi miezi ishakaribiaWatakwambia tusubiri mwezi wa kumi(10) mwaka 2024. Kuna mwekezaji anakuja .
magari yataongezeka.