Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
philosophical reason, MUSIBA NA BASHITE wanaweza kuelewa kweli hapa?CHADEMA ni mfumo huru wa kuishi na fikra huru za kufikiri, wakitaka kuiua CHADEMA ni lazima kuwauwa watanzania wote wanaojitambua.
MkuuNafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi
Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
MAJIMBO 6 NI:Mbona ilishakufa na wamegawana fito tayari, Uchaguzi ujao ikiambulia majimbo 6 itakua ni mafanikio makubwa sanaa
Watu wengine mnakula maisha kiulaini sana.Nafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi
Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
NCCR kachukua nafasi ya Chadema au kachukua uwakala wa CCM kwa KUFANYA BIASHARA YA UNUNUZINafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi
Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?

CHADEMA haifi hata iweje kila kibaya kinachoipata CDM kinaikomaza zaidi na zaidi ccm wangejua hili wangeachana na CDM kabisa.Nafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi
Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
Kipimo cha kujua wapo ama hawapo kinakuja October. Uhai ama ustahimilivu wa chama cha siasa hupimwa kwa uchaguzi. Chaguzi ndogo nadhani umezishuhudia na majawabu unayo na hivyo bado uchaguzi mkuu.Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Kama kachukua uwakala wa CCM basi kachukua uwakala wake aliokuwa kamuazima CHADEMA.NCCR kachukua nafasi ya Chadema au kachukua uwakala wa CCM kwa KUFANYA BIASHARA YA UNUNUZI
Hata cuf ipo tuHivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Ingekuwa mfumo huru wa kufikiri, kisingewasakama wale wanaofikiri huru na kuamua kufanya kile wanaamini.CHADEMA ni mfumo huru wa kuishi na fikra huru za kufikiri, wakitaka kuiua CHADEMA ni lazima kuwauwa watanzania wote wanaojitambua.
Combination ifuotayo inawafanya maCCM wasiishe kutumbuliwa na Jiwe:- Mbowe, Lisu, Matiko, Mdee, Bulaya, Heche, Sugu, Lema, Mnyika Haonga, na Msigwa. Majina haya yamesababisha hasara kubwa sana kwa CCM hata kupelekea CCM kutumia pesa nyingi sana kufanya manunuzi kuunga Juhudi.CDM haiwezi kufa hata kidogo maana MWAMBA hasiye na njaa MBOWE kawabana NZI wa kIJANI.
CHADEMA haitokaa ifeHivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?