Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?

CHADEMA ni imani hata ukimhonga mtu awe upande wako bado hujaondoa imani yake. Ndo maana habari zina leak kutoka jikoni. Huko huko kuna CHADEMA, na dunia nzima kuna CHADEMA.

Kuiangamiza CHADEMA angamiza watu wote na walio upande wako na wafuate huko nje uwaue.
 
Nafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi

Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
Mbona siwaoni hao nccr mnao wasema, mbona kama mmepoteza matumaini.
 
Ingekuwa mfumo huru wa kufikiri, kisingewasakama wale wanaofikiri huru na kuamua kufanya kile wanaamini.
Kwamba wakitumia fikra za kununuliwa kuunga Juhudi kwa ahadi ya Teuzi au pesa ndo fikra huru?
 
Kwamba wakitumia fikra za kununuliwa kuunga Juhudi kwa ahadi ya Teuzi au pesa ndo fikra huru?
Inategemea unavyolipima jambo, ila ukiweka mihemuko pembeni, huweni kunizuia kuhudumia wananchi walionichagua kwa matakwa yako binafsi bila majadiliano kama kweli chama kinaruhusu fikra huru. Nionavyo ndani ya chadema wanaburuzana tuu kama mang'ombe hamna fikra humo kwa sasa.
 
Hayo na mengine ndiyo husaidia kutunza uhai wa chama mpaka kufikia uchaguzi mwingine. Kama hukufanya hayo, uchaguzi hufichua tuu ugonjwa uliokuwa ndani ya chama.

Ikumbukwe uhai wa chama unaozungumziwa sio ule wa kiumbe hai, mfano mbuzi, mtu, n.k
Ili theories zako hzo zithibitike inabidi fair play ifanyike unless hizo theory huwez kuzitumia na kupata exact answer
 
Ili theories zako hzo zithibitike inabidi fair play ifanyike unless hizo theory huwez kuzitumia na kupata exact answer
Unaweza kutapatapa kwa mengine lakini ndani ya chama kama hamna hayo, chama lazima kife.
 
NCCR kachukua nafasi ya Chadema au kachukua uwakala wa CCM kwa KUFANYA BIASHARA YA UNUNUZI
Baada ya maCCM kuishiwa mbinu za kupambana na CHADEMA wameifanya NCCR Mageuzi ni Baffle zone yao.
 
Upo sahihi kabisa
CHADEMA ni mfumo huru wa kuishi na fikra huru za kufikiri, wakitaka kuiua CHADEMA ni lazima kuwauwa watanzania wote wanaojitambua.

In God we Trust
 
Unaweza kutapatapa kwa mengine lakini ndani ya chama kama hamna hayo, chama lazima kife.
Chama cha siasa huwa kinajifia chenyewe pale Sera zake zinaposhndwa kukidhi matakwa ya wananchi ila chama hakiwezi kufa kwasababu et watawala hawakipendi!!
Make it like this kuanzia Leo tarehe 14/05/2020 mpaka October kusiwepo na zile purukushani za chama kingne kuzuiwa hata kufanya mikutano ya ndani wala kufanya saisa haf tuje na tathmini kwa miez hiyo michache Ni chama gani kina ushawishi kwa wananchi
Nb: kuwepo na free and fair election
 
Waliounga juhudi baada ya uchaguzi 2020 wnapotea mazima.
 
Chadema ni mpango wa Mungu,kwa hiyo haiwezi kufa...........

Watapukutika wao makada wa Sisiem, wataacha Chadema ikidunda,pamoja na hila nyingi wanazofanyiwa na watesi wao
 
Wapo tu wangapi? Hujui kuwa hata APPT-MAENDELEO wapo? Hujui kuwa hata JAHAZI ASILIA wapo? Hata Chadema itaendelea kuwepo, lakini, namna gani?
 
Mbona ilishakufa na wamegawana fito tayari, Uchaguzi ujao ikiambulia majimbo 6 itakua ni mafanikio makubwa sanaa
Chama kilichokufa kinapapata majimbo sita? NCCR ina majimbo mangapii😭
 
Naiona chadema ya mbowe inaelekea ilipo cuf ya lipumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…