Hata nyoka unaweza kupondaponda kichwa akabakiza kutikisa mkia, usipoangalia vizuri unaweza kufikiri mzima kumbe alishakufa. Na chadema wako hivo wamebaki kwenye forums tu mtaani amna kitu akuna wanalopanga likafanikiwa, subiri 2020 baada ya uchaguzi upite ndio uje na haya maneno yako. Mungu ibariki TanzaniaHivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?

Awamu hii ya ujima iliwekeza zaidi kupambana na upinzani kuliko kupambana na umasikini nchini.Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?
Wameondoka wabunge na chaguzi za marudio zikafanywa katafunua lakini Chadema WAPO TUU!
Madiwani wakajivua kwa makundi makundi tena kwa kashfa nzito lakini Chadema WAPO TUU!
Wakawashambulia na kuwaua viongozi na wengine kuwajeruhi kwa risasi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwafukuza na kuwafungia Bungeni wasishiriki vikao vingi lakini Chadema WAPO TUU!
Wamekuwa wakiwazulia kesi mbalimbali mahakamani kuanzia ugaidi hadi uchochezi lakini Chadema WAPO TUU!
Na fungakazi ni majuzi wamewahukumu kifungo au faini kubwa sana milioni 350 lakini hakuna hata shilingi ya chama iliyotumika pamoja na kwamba makosa waliyohukumiwa nayo ni ya kikazi, bali chama kinachosemwa kimekimbiwa na watu faini hiyo ilichangiwa na hao hao ndani ya siku NNE. Na Chadema WAPO TUU!
Sasa mtueleze hiyo Chadema mnayo sema ina sambaratishwa ni IPI?
Mungu wabariki Polisi kwa kuushikilia uhai wa CCMHata nyoka unaweza kupondaponda kichwa akabakiza kutikisa mkia, usipoangalia vizuri unaweza kufikiri mzima kumbe alishakufa. Na chadema wako hivo wamebaki kwenye forums tu mtaani amna kitu akuna wanalopanga likafanikiwa, subiri 2020 baada ya uchaguzi upite ndio uje na haya maneno yako. Mungu ibariki Tanzania
Chadema ni mpango wa Mungu,kwa hiyo haiwezi kufa...........
Watapukutika wao makada wa Sisiem, wataacha Chadema ikidunda,pamoja na hila nyingi wanazofanyiwa na watesi wao
MkuuHivi yuko wapi huyo aliyekuwa kada mtiifu sana Kawe Alumni?
Tangu 2015 mnasema CHADEMA imekufa. Kama imekufa mbona sasa hamuachi kuiongelea na kupambana nayo??! Mtu anawezaje kupambana na maiti ?
Mbona ilishakufa na wamegawana fito tayari, Uchaguzi ujao ikiambulia majimbo 6 itakua ni mafanikio makubwa sanaa
Usihofu kwani ufuatiliaji wa ID yako umeanza RasmiHiyo picha ya punguwani hapo kwenye avatar yako inenifefhehesha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie mbwa wa lumumba mshazoeleka na propaganda zenu mfu.Nafasi ya chadema imechukuliwa na Nccr mageuzi hata kabla ya Uchaguzi
Makamanda wamekata tamaa wamebaki kubwata Matusi
Usihofu kwani ufuatiliaji wa ID yako umeanza Rasmi
Ndani ya ccm kuna fikra huru? Sijajua kuwa unavutia wapi hiyo sigaraInategemea unavyolipima jambo, ila ukiweka mihemuko pembeni, huweni kunizuia kuhudumia wananchi walionichagua kwa matakwa yako binafsi bila majadiliano kama kweli chama kinaruhusu fikra huru. Nionavyo ndani ya chadema wanaburuzana tuu kama mang'ombe hamna fikra humo kwa sasa.
kufa au kutokufa ni tafsiri yako wewe;CHADEMA ni mfumo huru wa kuishi na fikra huru za kufikiri, wakitaka kuiua CHADEMA ni lazima kuwauwa watanzania wote wanaojitambua.
Akili hiyo ndo imewafanya mbaki mkiburuta mkia. Kama kila kitu mtafanya kwa kujilinganisha na CCM hatuna chama cha upinza. Wananchi wanayohaki ya kuwapuuza.Ndani ya ccm kuna fikra huru? Sijajua kuwa unavutia wapi hiyo sigara