Akili hiyo ndo imewafanya mbaki mkiburuta mkia. Kama kila kitu mtafanya kwa kujilinganisha na CCM hatuna chama cha upinza. Wananchi wanayohaki ya kuwapuuza.
Ha ha ha ha ha haaaaaaaaa Bia yetuuuuuu ha ha ha haaaaaa leo umenifurahisha sana
NCCR ha ha ha ha haaaaaaaaa hivi bado hichi chama kipo kweli ... !!! licha ya udhamini wa CCM katika kukibeba lakini hakisikiki ila CHADEMA WAPO TUU wanasikika mpaka mawinguni