Hivi TRA kwa sasa hawatangazi makusanyo kila mwezi?

Hivi TRA kwa sasa hawatangazi makusanyo kila mwezi?

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Mimi sijui zinanipita habari hizi maana sijaona muda TRA wakitangaza makusanyo ile kila mwezi kama zamani au utaratibu umebadilika?
 
Mimi sijui zinanipita habari hizi maana sijaona muda tra wakitangaza makusanyo ile kila mwezi kama zamani au utaratibu umebadilika
Enzi za kupora fedha za wafanyabiashara ktoka kwenye mabenki zimekwisha.
 
Mimi sijui zinanipita habari hizi maana sijaona muda tra wakitangaza makusanyo ile kila mwezi kama zamani au utaratibu umebadilika
Unataka tuwe tunatangaziwa mapato kanjanja kama ya wakati ule!,Tunachotaka ni ukusanyaji ufanyike na mambo yaendelee kama sasa miradi yote inasonga mbele mabarabara yanajengwa mishahara inalipwa what's else!
::Ukitangaziwa itakusaidia nini?
 
Wanatoa taarifa kila robo inapoisha,July-Sept 2022 itatangazwa mapema Oct stay tuned
 
Hata wakitangaza haitusaidii maana tozo kila kukicha
 
nguvu ya soda walikua wanachakachua hadi matokeo ya kila mwezi ili kumpa kichwa Mungu wao Jiwe aonekane anaupiga mwingi

Yaan we ni kiazi asa hp mgufuri ankujaje u na ww ndo wale wa kujipenyeza ?
 
1664658529065.png
 
Wanatangaza zawadi za wachukua risiti...
Hawawezi kutangaza makusanyo wakati hawakusanyi kila mtu anakula kwa urefu wake kamishna kama hayupo vile na maswala ya kuumiza kulipa kodi hayapo tena na Kitengo cha Elimu ya mlipa kodi kipo likizo, wamebaki kuibia wanyonge kupitia tozo ndiyo akili zao zilipo ishia.
 
Back
Top Bottom