myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Duh!Ukiona wanaelekeza kidole Kenya tayari wamshindwa, hehehe Tanzania huwa nchi ya ajabu sana, yaani ni rahisi sana kuwapumbaza raia wake, ukishindwa kitu itaje tu Kenya, wote wataelekeza pua Kenya na kukuacha.