Hivi trillionaire wa Bongo aliyepotea amepatikana au la?

Ukiona wanaelekeza kidole Kenya tayari wamshindwa, hehehe Tanzania huwa nchi ya ajabu sana, yaani ni rahisi sana kuwapumbaza raia wake, ukishindwa kitu itaje tu Kenya, wote wataelekeza pua Kenya na kukuacha.
Duh!
 
Nimetazama BBC si kitambo kuhusu taarifa ya kutekwa nyara kwa mwanabishara maarufu kule bongo...Naskia familia ya Trillionaire huyu wameamua kutoa $430,000 ili aachiliwe salama...Ni hatari sana jamaa kama huyu anapotekwa mchana peupe..
Bado hajapatikana kuna Bonge la movie linaendelea Sterling akiwa silo
 
unauliza au unajibu? tuulizni tuwaazime intelligence agency mwone trilionea akirudishwa nyumbani salama na watekaji wakikamatwa mara moja...

Zikachukue uzoefu huko somali kwanza kabla ya kuleta kiherehere huku,askari wanakufa kila siku huko mnalipa watu mshahara wakijiita intellijensia.
 
Zikachukue uzoefu huko somali kwanza kabla ya kuleta kiherehere huku,askari wanakufa kila siku huko mnalipa watu mshahara wakijiita intellijensia.
hahahaha...heri yetu kuliko hio yenu ambao matrilionea wanatekwa nyara mchana peupe...madiwani wanapigwa marisasi na kuchinjwa kwa panga...we imagine trilionea na diwani mzima wanatekwa nyara na kupotea kabisa...sembuse wewe mlalahoi toka manzese usie na mbele wala nyuma...
 
Kumcheka nani wewe kima?
Tofautisha KUCHEKA na KUCHEMKA wewe!

Halafu neno KIMA limekukaa sana...inaelekea ndio msamiati wako mpya uliojifunza leo. MAana Nyang'au wengi mmejazana huku JF kujifunza kiswahili.
 
kwa taarifa yako what you wrote is less than what the family promised. Ujuaji mwingi umeishia kuboronga, tzs 1 billion isn't exactly $430,000
 
kwa taarifa yako what you wrote is less than what the family promised. Ujuaji mwingi umeishia kuboronga, tzs 1 billion isn't exactly $430,000
1 billion ni hicho kichwa chako maembe....tzs nimekwambia mimi apana tambua hela madafu..ninapoenda dukani kununua bidhaa siendi na mfuko uliojaa mihela madafu... umeskia?😀😀 kisha $430,000 nimeitoa kwenye gazeti liitwalo The Guardian..sijaandika tu bure...Mohammed Dewji kidnap: family offer £330k reward for billionaire's safe return
 
hivi kenya kuna tajiri kumzidi Mo ? anaitwa nani na ana utajiri kiasi gani naomba kujuzwa
 
1 billion ni hichi kichwa chako maembe....tzs nimekwambia mimi apana tambua hela madafu..ninapoenda dukani kununua bidhaa siendi na mfuko uliojaa mihela madafu... umeskia?😀😀 $430,000 kwisha
wewe ni mpuuzi au hujapata taarifa vizuri, that amount wasn't exactly what was promised by the family, BBC ipi umeitoa taarifa hii?
 
wewe ni mpuuzi au hujapata taarifa vizuri, that amount wasn't exactly what was promised by the family, BBC ipi umeitoa taarifa hii?
pumbavu mkubwa ww $430,000 nilisoma hapo awali kwenye gazeti liitwalo The Guardian..sijaandika tu bure. ila basi tuambie ni hela kiasi gani haswa maana naona wewe ni mjuaji sana? na usiniambie kwa hela madafu maana bilioni moja mimi najua ni 10 million USD tukizingatia pesa za kenya..
 
swadakta now that I have you where I wanted you to be, let's argue.
Facts; your currency isn't better just because it exchanges better with usd, South Korea ( in the world top twenty economies) exchange poorly with usd, and 430000 usd ≠ 1 billion tzs.
Furthermore,
1 billion tzs = 493861036 krW=436795 usd.
Sawa stupid? Ukiwa unaandika ujinga uwe unajiandikia PM sio hadharani sawa?
1 billion Tzs sio pesa ya madafu stupid, tukiwapa gok hio pesa ( if wataitumia bila kuiba ) itawalisha mwezi mzima bila kufanya kazi. Sawa stupid? Stupid.
 
And which is which stupid? The guardian or BBC?
Nimetazama BBC si kitambo kuhusu taarifa ya kutekwa nyara kwa mwanabishara maarufu kule bongo...Naskia familia ya Trillionaire huyu wameamua kutoa $430,000 ili aachiliwe salama...Ni hatari sana jamaa kama huyu anapotekwa mchana peupe..
 
Ukiona wanaelekeza kidole Kenya tayari wamshindwa, hehehe Tanzania huwa nchi ya ajabu sana, yaani ni rahisi sana kuwapumbaza raia wake, ukishindwa kitu itaje tu Kenya, wote wataelekeza pua Kenya na kukuacha.

Ukweli usio fichika mambo kama haya yamekithiri kwa nchi kama Kenya na Nageria. kama ilikuwa njama ya kutaka kuyaleta Tanzania, mtakuwa mmefeli sana. Hatuta badili maisha yetu na uhuru wetu vidogo kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…