Soma hili mkuu mtoa hoja,Namibia, Lesotho, Swaziland nchi zote hizi zime hook currency yao kwenye SA rand(zar),ukiwa na rand inaweza kutumia kwenye hizi nchi, Botswana wana very strong currency(pula),hii pula ni strong than zar ila kibiashara unaweza kwenda dukani ndani ya Botswana na rand na ukanunua kitu ila huwezi kutumia pula ndani ya SA, Zambia [emoji1268] kipindi cha uongozi wa Rais Mzungu (Mr.scott,rip)aliweza kuigeuza ZWK in 6mths, aliondoa zero zote na kubakiwa na only 100note, was a good move na sisi tunaweza fanya hili, pia BOT yetu ipewe mandate mpya including to keep on check inflation, kuufanya currency yetu iwe strong na iweze kushindana na world strong currency (kibiashara),hatimisho, tuendelee kutumia currency yetu ila tufanye kama Zambia, tufanye kazi ili tuweze ku export more than import