Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Technically Tanzania tunatatizo la balance of trade yaan import>exportKwema wakuu. Maisha yetu yanakuwa magumu, fedha yetu inakosa thamani. Hivi kama taifa likatelekeza shilingi na kuanza kutumia dolar ya marekani tataathirika ama kufaidika na nini
Technically Tanzania tunatatizo la balance of trade yaan import>export
Kwamba hakuna uwiano kwa tunavyouza na tunavyonunua..wajanja wanaingiza zaidi kuliko sisi kupeleka nje.Technically Tanzania tunatatizo la balance of trade yaan import>export
hizi in practical theoryElimu Elimu Elimu.
the only way ni kubadilisha falsafa ya uchumi we need big reform koz hatuna viwanda hata zile primary production sector bado zipo na utendaji kazi mbovuSoma hili mkuu mtoa hoja,Namibia, Lesotho, Swaziland nchi zote hizi zime hook currency yao kwenye SA rand(zar),ukiwa na rand inaweza kutumia kwenye hizi nchi, Botswana wana very strong currency(pula),hii pula ni strong than zar ila kibiashara unaweza kwenda dukani ndani ya Botswana na rand na ukanunua kitu ila huwezi kutumia pula ndani ya SA, Zambia [emoji1268] kipindi cha uongozi wa Rais Mzungu (Mr.scott,rip)aliweza kuigeuza ZWK in 6mths, aliondoa zero zote na kubakiwa na only 100note, was a good move na sisi tunaweza fanya hili, pia BOT yetu ipewe mandate mpya including to keep on check inflation, kuufanya currency yetu iwe strong na iweze kushindana na world strong currency (kibiashara),hatimisho, tuendelee kutumia currency yetu ila tufanye kama Zambia, tufanye kazi ili tuweze ku export more than import
Welldone mkuu, tujenge zile heavy industries sio upuuzi eti wa kukoboa mpunga!,tushawishi nchi kama Sweden wawekeze kiwanda cha to manufacturers Scania trunks SIO to assemble, huu sio uwekezaji tunaouhitaji, nasi tufanye kazi na tufanye kazi kwa smart, sio mazoea au vitisho au nguvuthe only way ni kubadilisha falsafa ya uchumi we need big reform koz hatuna viwanda hata zile primary production sector bado zipo na utendaji kazi mbovu
Zambia wanatuzidi nini kiuchumi?Soma hili mkuu mtoa hoja,Namibia, Lesotho, Swaziland nchi zote hizi zime hook currency yao kwenye SA rand(zar),ukiwa na rand inaweza kutumia kwenye hizi nchi, Botswana wana very strong currency(pula),hii pula ni strong than zar ila kibiashara unaweza kwenda dukani ndani ya Botswana na rand na ukanunua kitu ila huwezi kutumia pula ndani ya SA, Zambia 🇿🇲 kipindi cha uongozi wa Rais Mzungu (Mr.scott,rip)aliweza kuigeuza ZWK in 6mths, aliondoa zero zote na kubakiwa na only 100note, was a good move na sisi tunaweza fanya hili, pia BOT yetu ipewe mandate mpya including to keep on check inflation, kuufanya currency yetu iwe strong na iweze kushindana na world strong currency (kibiashara),hatimisho, tuendelee kutumia currency yetu ila tufanye kama Zambia, tufanye kazi ili tuweze ku export more than import
PhD zimefanya Nini ama zimeleta impacts gani kwenye uchumi zaidi ya mtu kuitafuta ili apate teuzi ama nafasi kubwa serikalini. Kisomo Cha wafrika naamini tunakariri Tesla alivyogundua umeme ama kanuni ama theory za kiuchumi zilizotafutwa na wazungu.Hebu tuwaulize wale JPM alisema "pale BOT kuna PhD 17. Ni swala la kiuchumi.
Mkuu usiishi kwa mazoea, panua wigo wako wa ufahamu, middle class wewe inabidi ujitahidi kuonyesha ufahamu wako, ulitakiwa wewe uweke hapa statistics za kuonyesha sisi hatuzidiwi na Zambia kuliko ulivyojibu, mwanafunzi wa hapa lingusenguse primary school wa std 6 anaweza kujibu bora kuliko wewe.,tembea na kajionee nini wenzetu wanakifanya kwa sasa kuinua nchi yaoZambia wanatuzidi nini kiuchumi?