Ukiondoa zero na bidhaa nazo utaondoa zero?Zimbabwe [emoji1269] bado wanatumia usd, pound na rand, nimepita juzi kati mabadiliko yanatia hamasa, nchi inaaza kurudi ilikukua kabla ya Dictator Mugabe to make a huge mess, Harare to Chilundu carriageway inakua bora, tuelewe wote wanakimbiza soko la DRC, sisi T1 bado tunapiga hadithi nayo, nimetoa mfano huu kuonyesha unaweza kutumia foreign currencies, ila binafsi sipendi ni vema tukaondoa zero kwenye notes zetu,then tuache politics, tufanye kazi In a smart way
Unadhani hiyo $100 utaipata kirahisi?Imagine unanunua mkate kisha unalipa USD 100 chenji inakuwaje [emoji3][emoji3][emoji3]!
Sisi wenyewe tunaweza kutafuta masoko nje na kudeliver ila sasa watu wengi hawana business skills necessary to interact with abroad markets pamoja na lack of exposure.ninaweza kukuunga mkono. mfano parachichi letu ni bora lakini linapitia kenya then abroad . unafikiri tunakwama wapi sisi kwenye issue za kutafuta masoko ili tuwe na high exportations??
Sisi wenyewe tunaweza kutafuta masoko nje na kudeliver ila sasa watu wengi hawana business skills necessary to interact with abroad markets pamoja na lack of exposure.
Ndipo tumepitwa sana kwa sababu wengine wanajua kingereza, na wapo fluent kwenye exposure. Kwa mfano nilikshawahi pewa malalamiko na wakenye pamoja na wanigeria kuwa sisi watz ni wavivu sana na tupo tupo tu. Na ndio maana wao wanakuja kupiga hela nyingi sana na kupewa vyeo vikubwa kwenye makampuni yetu na sisi tukiambulia nafasi za ulinzi na majikoni huko 😂aisee hapo kwenye exposure na uwezo wa kushawishi