Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i support you, inawezekana kabisa kwa mwanamume mwenye mipango sahihi na kujijali/kujiheshimu na bado ukaendelea kuwa rijali... big up mkuu keep it up...:A S-key:Mmmmh,mi nna mwaka na nusu sasa sijamchungulia bnt,sion tatzo
Nyie hapo.
Nawaonea huruma watoto wadogo ,mbuzi kuku na mifugo mingine, vitabakwa mpaka vikimbilie porini na kuwa wanyapori wa kisasa
Kwa wanawake Inawezekana sana.Waweza kaa hata miaka zaidi ya mitano bila hyo kitu.ni kujiweka busy wala hutasumbuka wala hutakuimbuka
Mmmmh hili la kukaa mwaka mzima ni kama ndoto vile
Ah wapi mbona mimi namaliza mwaka wa tano sasa bila sex na sina tatizo lolote lile na sio kwamba wananikataa au vipi maana ninapoishi mtaa wa pili tu kuna wale wadada wanaojianika kwenye red light na wala huwa sipiti mtaa huo.Tatizo ni kuwa watu tunajiendekeza tu ila inawezekana na hakuna shida yeyote kiafya.Katika kukujibu swali lako ni nini kitatokea au itakuwaje ni kuwa tutakosa watoto kwa miaka takriban miwili hivi, hivyo litakuwa ni tukio la kihistoria kwa mwanadamu.
Sasa we unataka iwe mingapi?
Inawezekana
Mwanaume.
Wanawake ndio watateseka sana, kwani wanaume wana unvoluntary mechanical way ya kupunguza stress; mf kwa kuota!