Nimesoma bango moja inaonekana kampuni za vyandarua na dawa zimo kwenye hizo conspiracies zinazozuia DDT isitumike kuua mbu. Nawaza kama wachina ndio watakaoweza kututoa hapa...kwanini baadhi ya nchi ziwe zimeweza kutokomeza kabisa Malaria na mbu wa aina yoyote sisi tusiweze tukajifunze kwao tuchukue hatua.DDT is potentially carcinogenic, wacha tu tulale ndani ya vyandarua na kutumia rungu(spray). Long term effects za DDT ni kubwa sana.
Ndio mkuu tunawesa tu hii malaria ni Hofyoooo kabisaNawaza kama Serikali ifanye utafiti juu ya kuangamiza kabisa mazalia ya mbu nchini kwa kutumia DDT ili tuagane kabisa na Malaria. Hili gonjwa linazingua mjue.
Hata kama ilizuiwa mbona nasikia kuna nchi nyingi tu wanaendelea kuitumia na huko India inaendelea kuzalishwa kama kawaida.
"Malaria haikubaliki"
Nawaza serikali basi ingenunua zile dawa za kiwanda cha KIBAHA izigawe kwenye Halmashauri zote nchini kisha itengwe siku moja au siku tatu ya kila mtaa nchini Tanzania kupuliza/Furmigate mazingira yote hatarishi yakiwemo mashimo ya vyoo mitaro nakadhalika...hii malaria itasepa tuMalaria ni mradi mkubwa pesa, kuna mtu alileta mada kuhusu makampuni ya madawa yanavyonufaika na magonjwa yetu, ddt ilitokomeza malaria Cuba inapigwa vita sababu kama hakuna mbu hakuna malaria kama hakuna malaria hakutakuwa na madawa ya malaria, ajira zitapotea kuanzia viwanda vya madawa mpaka viwanda vinavyouza vyandarua
Naomba tafadhali kukazia kwenye hili swali. Awamu hii hakisikiki tena! Na tuliahidiwa makubwa sana kupitia kile kiwanda! Na ilikuwa ni enzi zile za JK bila shaka.Kile kiwanda kilichopo pwani, cha kutengeneza kiwatirifu cha kuua mbu, kilifia wapi??kwani kilizinduliwa kwa mbwembwe, kuwa ni cha kwanza afrika!!
Walishapewa maagizo ila kama unavyojua hakuna utekelezaji wala ufuatiliajiNawaza serikali basi ingenunua zile dawa za kiwanda cha KIBAHA izigawe kwenye Halmashauri zote nchini kisha itengwe siku moja au siku tatu ya kila mtaa nchini Tanzania kupuliza/Furmigate mazingira yote hatarishi yakiwemo mashimo ya vyoo mitaro nakadhalika...hii malaria itasepa tu
DDT Inauwa hadi wale wadudu muhimu kama nyuki manyugwi na sisimizi kabla haijaingia kwenye vyanzo vya Maji na hatimae kwenye chakula na hapo ndio tunakutana na saratani ya kila aina
Hizo ni hadithi tu zilizotungwa na watu wa Eugenics baada ya kuona population growth ya Africa na Asia inaongezeka kwa kasi baada ya mbu kuangamizwa, wakashtuka kwamba kumbe malaria ilikuwa inasaidia kucontrol population, ndio wakamlipa mwanasayansi mmoja aandike kitabu kinachoitwa ‘Silent spring’, ambacho kimejaa porojo na hisia tu bila basis yoyote ya kisayansiDDT is potentially carcinogenic, wacha tu tulale ndani ya vyandarua na kutumia rungu(spray). Long term effects za DDT ni kubwa sana.
Kwani unapulizia kwenye mizinga ya nyuki, si unafanya selective fummigation, acheni visababu vya ajabu ajabuDDT Inauwa hadi wale wadudu muhimu kama nyuki manyugwi na sisimizi kabla haijaingia kwenye vyanzo vya Maji na hatimae kwenye chakula na hapo ndio tunakutana na saratani ya kila aina
Ila kwa South Africa na nchi zingine zilizoruhusiwa hakuna samaki? 😂😂😂😂, hivi mnapata faida gani mnapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?The food chain! Maana ikiingia kwenye maji ikaingia baharini ikaliwa na samaki na samaki akaja kuliwa huku kwetu inakua hatari sana. Halafu DDT ni non biodegradable kwa hiyo inafanya accumulation kwenye food chain. Hata kwenye udongo pia mmea utafyonza halafu sisi tunakuja kula zile kemikali