complex31
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 421
- 1,289
Wikipedia wanasema kabisa ilitumika kwaajili ya kuua mazalia ya Malaria.
Kuna mada niliwahi leta huku, badala ya kutumia billions kuagiza madawa nje ni bora nusu ya hizo pesa zitumike kufanya fumigation kwenye miji ambayo kuna case kubwa za Malaria kama Dar na Morogoro
Kabla ya mkutano wa SADDC Wizara ya afya walikua wanapuliza dawa mji mzima usiku, hii inaonyesha uwezo wa kukabiliana na Malaria tunaweza lakini shida ni biashara ya Dawa itakufa na misaada/ research zitapungua.