Huyo nyuki wakati anachukua Polen na nectar na wakati anakunywa MajiKwani unapulizia kwenye mizinga ya nyuki, si unafanya selective fummigation, acheni visababu vya ajabu ajabu
Sure aisee nimesoma pahala South Africa wanaitumia na imesaidia sana kutokomeza malaria kwanini sie tunasikiliza hawa jamaa?....nawaza wataalamu wetu wangefanya utafiti independent kisha waje na proposal tuagize mzigo India tuue mbu wote malaria itokomeeIla kwa South Africa na nchi zingine zilizoruhusiwa hakuna samaki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hivi mnapata faida gani mnapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?
Kipo mkuu na nilishiri ujenzi wake, alikuja mpaka waziri mkuu wa Ethiopia kwenye uzinduzi. kinafukaga moshi tuu pale lakini sijui matokeo yake.Kile kiwanda kilichopo pwani, cha kutengeneza kiwatirifu cha kuua mbu, kilifia wapi??kwani kilizinduliwa kwa mbwembwe, kuwa ni cha kwanza afrika!!
South Africa hakuna nyuki? πππHuyo nyuki wakati anachukua Polen na nectar na wakati anakunywa Maji
Shida ni masharti ya msaada, wanasema ukitaka msaada wa madawa na neti za mbu sharti usitumia DDTSure aisee nimesoma pahala South Africa wanaitumia na imesaidia sana kutokomeza malaria kwanini sie tunasikiliza hawa jamaa?....nawaza wataalamu wetu wangefanya utafiti independent kisha waje na proposal tuagize mzigo India tuue mbu wote malaria itokomee