Hivi tuliishia wapi kuhusu Ziwa Nyasa na leo Ziwa Malawi?

Hivi tuliishia wapi kuhusu Ziwa Nyasa na leo Ziwa Malawi?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Huu mgogoro ulifikia wapi mpaka leo, maana ramani zinaonesha ni ziwa malawi na sio ziwa nyasa? Na mipaka inaonesha utakiwi kugusa hata maji.

Je, kanuni gani mpaka sasa na solution ipi imechukuliwa?

IMG_0695.jpg
 
Ww tambua hilo ni lake Nyasa itoshe

Na vyombo vya ulinzi bipo kazini kule

Na hali ni shwari hakuna choko choko mama joyce Banda alisha jikanyaga akala mweleka Mchuhaji Lazarus na yy hana mambo yq kugombea maji maana anajua vyote ni mali ya Bwana
 
Tunasibiriq mda sahihi wajichanganye tuwape dozi ya idd amin, nchi ya nyerere haichezewi kamwe
 
Back
Top Bottom