ziwa malawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Muungano ukitengana kuna maeneo kabla mjakabiliana na ziwa Malawi mnaanza history ya mwisho wenu ubungo na hakuna mnacho mpaka bahari

    Mimi na furahi tu maana CCM nataka kuwaona nyie ndio mtakuwa mstari wa mbele. Tukiwapa mawazo mnasema sio wazarendo. Kazi kwenu sasa.Muungano huu mnaombwa kugawana mali.
  2. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

    Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana na taarifa sahihi za kiuchunguzi. Jana niliingia Instagram, kwenye post ya CIA, nikakuta wameweka...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwetu tunachukulia poa ila wamalawi wanazungumzia kila siku Ziwa Malawi / Nyasa, Wanataka ziwa lote la nini ?

    Nawashangaa sana wamalawi, yani karibia kila siku ajenda kuu za kimataifa lazima wagusie ziwa Malawi / Nyasa. Mpaka wa kusini wa Ziwa Nyasa na Msumbiji uliwekwa kupitia mikataba kati ya Uingereza na Ureno, ambayo iligawa mpaka wa ziwa katikati. Hata hivyo, mpaka kati ya Tanzania na Malawi...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi tuliishia wapi kuhusu Ziwa Nyasa na leo Ziwa Malawi?

    Huu mgogoro ulifikia wapi mpaka leo, maana ramani zinaonesha ni ziwa malawi na sio ziwa nyasa? Na mipaka inaonesha utakiwi kugusa hata maji. Je, kanuni gani mpaka sasa na solution ipi imechukuliwa?
Back
Top Bottom