Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Tumesoma Sana slave trade na moja ya vitu vinavyo leta slavery and na sla e trade low salary as compared to many tasks or duties handled to you.
Point yangu ya msingi Ni kwamba hivi inakuwaje mtu ana degree ya ualimu anaenda kufundisha hizi English medium analipwa laki mbili kwa mwezi na bado anajiita msomi, kweli!
Au mtu ana ba bachelor lakini analipwa pesa ya ajabu kabisa hata Kama yuko serikalini wakati hata bodaboda tu akiamua kufanya kazi yake anamzidi mbali anayelipwa kwa mwezi husani mwalimu wa private na serikali.
Tena Kuna graduates mpaka wanajitolea kabisa mashuleni. Hivi elimu imetusaidia nini au imetuongezea ujinga na utumwa.
Sasa wamasai wakikataa kusoma je kwa nini tunawalaumu wakati anajua akati wasomi wamefany manamba na watumwa na hawajijui kabisa eti kisa anapigilia tai na kuchomekwa ofisini huku hata hela ya kununa bando Anaomba na ana degree