Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Slave = Halipwi chochote zaidi ya kupewa chakula na maji ili aishi kuendelea kutumika.
Servant = analipwa ujira. Unaweza kuwa mdogo, wa kati au mkubwa ila lazima alipwe.
Naona umefeli kutofautisha hizo terms mbili hapo. Yaani slave na servant. Mtumwa na Mtumishi.
Sent using Jamii Forums mobile app