Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 Mar 3, 2022 #21 Slave = Halipwi chochote zaidi ya kupewa chakula na maji ili aishi kuendelea kutumika. Servant = analipwa ujira. Unaweza kuwa mdogo, wa kati au mkubwa ila lazima alipwe. Naona umefeli kutofautisha hizo terms mbili hapo. Yaani slave na servant. Mtumwa na Mtumishi. Sent using Jamii Forums mobile app
Slave = Halipwi chochote zaidi ya kupewa chakula na maji ili aishi kuendelea kutumika. Servant = analipwa ujira. Unaweza kuwa mdogo, wa kati au mkubwa ila lazima alipwe. Naona umefeli kutofautisha hizo terms mbili hapo. Yaani slave na servant. Mtumwa na Mtumishi. Sent using Jamii Forums mobile app
igogondwa JF-Expert Member Joined Aug 1, 2021 Posts 2,597 Reaction score 3,373 Mar 3, 2022 #22 Yoda said: Njaa Click to expand... Haina cha baunsa wala degree wala uprofesa...
spea mkononi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 345 Reaction score 324 Mar 3, 2022 #23 kitu ambacho black ppo bdo hamjui n kwamba slavery haijawai kuisha, tumeambiwa tuu ilkua abolished but co kwel.... nchi zetu bdo n makoloni ya watu weupe. hao weny degree ndo white collar jobs.... wake up black pipo... fight for your rights
kitu ambacho black ppo bdo hamjui n kwamba slavery haijawai kuisha, tumeambiwa tuu ilkua abolished but co kwel.... nchi zetu bdo n makoloni ya watu weupe. hao weny degree ndo white collar jobs.... wake up black pipo... fight for your rights