Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu.

Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume?

Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa.

Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 7 wengine waokolewa

Nasubiria huyu engn wa kariakooo atakuwa nani badaae
 
mbingun mtafika lakin mmechoka sana
 
Back
Top Bottom