Tume ya uchaguzi kumekuwa na ubabaishaji mwingi kwani yanayoendelea mengi ubabaishaji kuanzia upande wa vyakula mpaka malipo. Tukianza na upande wachakula kuna malalamiko mengi waseminishwaji wamenyeshwa chai na viazi mbatata na na kuna baadhi ya wilaya na makande.
Sasa sijui kiutaratibu tume kama iliagiza watu wanywe chai na vitafunwa hivyo kwani ni dharau kwa wahusika pamoja njaaa zao ndio zinawafanya wadharaurike.
Pili malipo yamepunguzwa kutoka pesa iliotangazwa kwenye tangazo sh 60k mpak 45k sasa hatujui nini kimeikumba tume.
Pia katika hilo imefuta malipo kwa waandikisha ji wa ziada(Reseve), sasa kwanini iliwafanya wawe wa ziada? Sasa muandikishaji wa resevu anasubiria halafu asipewe malipo? Kwanini tume isiachane na kuwa chukua resevu kwa sababu kila kata inachukuwa waandishaji wanne ina maana wilaya ina kata 30 itakuchukua watu wa resevu 120 ina maana kila wilaya kuna pesa za ziada zinakuja za watu 120 zaidi ya million 60 ambazo zitaliwa na viongozi, kwani lazima watasema waliingiza wanaoandikisha wa ziada.
Mfano mkoa mmoja wenye wilaya 6 kila wilaya ina kata 30 kwahiyo kila mkoa kuna zaidi ya milion 360 hutumika ukizidisha mara idadi ya mikoa iliopo kwa nchi zima 360*28 zaidi ya biliion 10 hupotea hapo bado pesa ya semina ina maaana 15billioni hupotelea mikononi wa wajanja!
Nini kifanyike tume ipunguze watendaji wake katika ngazi ya halimashauri pia ipunguze pia waandikishaji resevu badala ya kuchukua hao 120 basi inaweza kuchuku hata 10 kama backup ambao watakuwa multi purpose kwa lolote ambalo litakalotokea vinginevyo itabaki kuwa tume ya kihuni na wapigaji.
Kwani kwa mfumo ule kila kiongozi atasaini majina ya resevu na kuchukua pesa
Nawasilisha