Wana jf, hivi kwa sasa tunahitaji Katiba mpya kwanza au tunahitaji kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba mpya. Nimeulilza hivi kwa sababu kuna watu wanataka tudai Katiba Mpya bila ya kujali kuwa hakujawahi kuwepo kwa mjadala rasmi juu ya Katiba mpya. Tusipoiona haja ya kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba, watatokea wajanja ambao watapeleka Mswada Bungeni wa kutaka Katiba mpya na ukakubaliwa na ikaundwa Katiba nyingine hata kama ni kwa jina tu. Lakini tukidai mjadala rasmi, sio rahisi kuchezewa shele. Nawasilisha
Tufafanulie juu ya huo "mjadala rasmi" ukoje ili nikujibu swali lako!
Mjadala ambao utatoa maazimio yatakayotumika kwenye Katiba mpyaMjadala rasmi maana yake nini
Ni kuwepo kwa vikao rasmi katika ngazi mbalix2 kwa ajili ya kujadili Katiba mpya.Tufafanulie juu ya huo "mjadala rasmi" ukoje ili nikujibu swali lako!
Lakini pia itatusaidia kukubaliana mambo ya msingi.Labda anataka tujihakikishie contents za katiba mpya zitakua nini ili tusije andika kijarida badala ya Katiba. Maana mawazo na madai ya katiba mpya kwa wakati huu ni kuitoa CCM madarakani. supposed imewezekana than what next? na walioshindwa wadai katiba mpya ya kukiondoa hicho chama kingine madarakani? Katiba iwe futuristic with long lasting ideas!
Ahsante Mkuu kwa kutokuwa Kipofu wa kuona ukweli. Jambo la msingi ni kuishinikiza gvt kuandaa na kuruhusu vikao kwa ajili ya kujadili Katiba.Kwa maoni yangu ni wananchi ndio wana final say juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa katiba mpya.kufikia huko ni lazima kuwe na mjadala rasmi utakaohusisha pande mbalimbali. Serikali itakapokubali kujadili suala hili ndipo tutakapoita 'mjadala rasmi'
Wana jf, hivi kwa sasa tunahitaji Katiba mpya kwanza au tunahitaji kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba mpya. Nimeulilza hivi kwa sababu kuna watu wanataka tudai Katiba Mpya bila ya kujali kuwa hakujawahi kuwepo kwa mjadala rasmi juu ya Katiba mpya. Tusipoiona haja ya kufanyika kwa mijadala rasmi juu ya Katiba, watatokea wajanja ambao watapeleka Mswada Bungeni wa kutaka Katiba mpya na ukakubaliwa na ikaundwa Katiba nyingine hata kama ni kwa jina tu. Lakini tukidai mjadala rasmi, sio rahisi kuchezewa shele. Nawasilisha
Mjadala tunaofanya sio rasmi na hauna hata muhtasari ambao tunaweza kuutumia kama reference.mkuu... kuna mjadala mwingine tena zaidi ya huu tunaoufanya hapa JF na huko mitaani....... kitakacho fuata ni mchakato wa upataji wa katiba mpya.....
Mjadala tunaofanya sio rasmi na hauna hata muhtasari ambao tunaweza kuutumia kama reference.