CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Loe nilipita Super Market ya Village Supermarket kununua maji tu ila nikazunguka zunguka hasa sehemu za vyakula, huwa mara nyingi nafanya hivyo.
Kuna vitu vinasgangaza sana Bongo hii,
Pale kwenye vegitable na fruits nilikutana na products asilimia 98 ni imported sana kutoka Kenya labda na south Afruca kwa matunda.
Yaani, hadi Mboga zilizo katwakatawa zikachanganywa karot,i frech beans,hoho na kadhalika tuna import kutoka Kenya.
Spice na Herbal zote hizo ni imported kutoka Kenya.
Hawa jirani wana faidi sana hasa furusa za utalii Tanzania, wao ndio kwa kaisi kikubwa wana feed hoteli za kitalii Tanzania, wakisaidia labda na Wakulima wa Tanzania wachache hasa Wazungy kule Iringa na Arusha.
Sisi tunakomaa na kilimo chetu cha urith tulicho kuta wazazu wetu wanafanya na ndio na sisi tunakiendeleza.
Kwa sababu ku import hadi limao ni aibu kubwa sana.
Na mara zoe watu huja na story za connection ila muulize ana products gani sasa.
Hizi Super Market hakuna cha connections wewe ni uende na products yako quality, na wanacho fanya mnaweza supply lets say mayai watu 5 wote mja mayai ya kuku na yakawekwa kwenye shelf, wateja wanaamua wenyewe wanataka mayai yapi.
Ila kisingizio chetu kikuu huwa ni hicho, huwezi enda pale na product haileweki wachukue.