Mpaka sasa benin 1 madagascar 0 matokeo yakienda hivi ndio basi tena grupo litakuwa hivi
Benin 10
Congo 8
Tanzania 7
Madagacar 1
Mechi za mwisho
Tanzania vs madagasca
Congo vs benin
Sare ya aina yeyote anapita benin
Congo akishinda anapita.
Ili tanzania ashinde ni leo benin kupata draw dhidi ya madagasca then mechi ya mwisho congo apate draw na benin ili sisi tz tumfunge madagasca ugenini ili tupite.kiufupi tu tuseme tanzania tumeumaliza mwendo.na wachezaji wetu wa michongo wakina dikson job ,kibu ,mzamiru.
Tulishindwa nini kumuita mkude pale dimba la kati
Sent from my vivo 1907 using
JamiiForums mobile app