Hivi tunavyoongea tayari Tanzania haina chake world cup qualify

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Mpaka sasa benin 1 madagascar 0 matokeo yakienda hivi ndio basi tena grupo litakuwa hivi

Benin 10
Congo 8
Tanzania 7
Madagacar 1

Mechi za mwisho

Tanzania vs madagasca
Congo vs benin

Sare ya aina yeyote anapita benin
Congo akishinda anapita.

Ili tanzania ashinde ni leo benin kupata draw dhidi ya madagasca then mechi ya mwisho congo apate draw na benin ili sisi tz tumfunge madagasca ugenini ili tupite.kiufupi tu tuseme tanzania tumeumaliza mwendo.na wachezaji wetu wa michongo wakina dikson job ,kibu ,mzamiru.

Tulishindwa nini kumuita mkude pale dimba la kati

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ile hera wanao kusanya1.6bn kuezesha taifa star kuingia kumbe la dunia ndo imeishia hapo au ?
 
Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin.

Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha ratiba tu na haitakuwa na maana yoyote.
 
Ndio ipo hivyo

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Hizi hesabu ni ngumu sana kupata jawabu la kuibeba Tanzagiza....nilikuwa nawatetea kumbe ni bure kabisa,bora sasa zile bilioni tugawane nchi nzima.
 
Hivi kuna watu wazima kabisa na akili zao timamu walikuwa wanaipa nafasi Stars kufuzu?

Hizi nafasi zingekuwa permanent kwa timu za Magharibi na Waarabu wa Kaskazini.
 
Back
Top Bottom