Afu yale maduka ya nje me huwa nahisi ni ya madokta na manesi, sio ya hospital. Na uwezekano wa kuibiwa upo.Tukiandikiwa dawa mfano na Daktari, tunavoenda kununua pharmacy za nje ya hospital zile bei tunaziaminije?
Maana hakunaga bei elekezi ya madawa, au reference ya bei, just kumpa kikaratasi cha madawa na muuzaji anakuambia jumla elfu kadhaa.
Vipi kama kila dawa anaongeza bei flani? Ilitakiwa kuwe na bei ya reference somewhere maana unaweza kuta wenye maduka au wauzaji wanajiongezea bei kiholela.
Kiberiti ni sh100 kote mkuu!Kwan ww umejuaje kiberiti kinauzwa 100?
Au bia ni 2500?
Ulitangaziwa?
Kwa case hiyo, Ndo uchukulie kwenye madawa pia 😎
Dah! Sisi huku kiberiti 250Kwan ww umejuaje kiberiti kinauzwa 100?
Au bia ni 2500?
Ulitangaziwa?
Kwa case hiyo, Ndo uchukulie kwenye madawa pia
Bei haiwezi kutofautiana hvy, lazima kuwe na bei maalum.Kiberiti ni sh100 kote mkuu!
Ila p2 unakuta pharmacy hii 3000,ingine 3500 …ingine 5000 sasa si ni kutusababishia mimba mbalimbali hapo🤒
Au Nyie sio watanzania 😂Dah! Sisi huku kiberiti 250
Yaani kuna dawa nimeenda nunua. Namuambia Dkt na bei anasema mbona ghali sana. Inaonesha nimepigwa kabisa.Kama zile phamacy za nyegezi mwanza.bei ziko juu sana kuliko sehemu nyigine
Watu wanafosi mikatabaAu Nyie sio watanzania
Sasa tutafanyeje? Wakati tunaishi ili tule.Yale Dkt anakuambia kabisa nenda duka flani kafuate dawa hii. Sasa ukifika pale kwann usipigwe.
Kama hakuna uharaka, jaribu kwenda maduka ya jumla ya wahindi hususani pale nyerere round about mkabala na nyerere plaza au nenda karibu na mataa ya nyerere road jirani na akshari stationary au kule opposite na u turn..bei ni poa sanaKama zile phamacy za nyegezi mwanza.bei ziko juu sana kuliko sehemu nyigine
Hamna ila kauli ya mwisho imenifanya nicheke.Emily magnus
naona umenicheka, unapafaham kayonza kwenye jengo la ppf?