Hivi tunaziaminije bei za dawa kwenye Pharmacies?


Una akili timamu?
 
Ni ngumu. Sababu dawa moja inaweza kuwa na brands zaidi ya moja. Zingine tano na zaidi. Kila moja inatoka kiwanda na nchi tofauti na quality tofauti. So bei zinakuwa vurugu mechi.
So kilichobaki ni “kuamini” unachoambiwq tu si ndio.
 
Moja kati ya biashara ya kimafia na ya kitapeli kuwahi kutokea ni madawa au afya kwa jumla na shirika la WHO usikute lina ushetani ndani mwake kama kweli kuna mashetani duniani
 
Mbona kayonza huwa wana bei nzuri tu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…